Imeniuma sana kwa Chama cha Vilabu Afrika kuweka Makao Makuu Nairobi badala ya Tanzania (Arusha)!

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,088
49,790
Kama Serikali Kuna mahala inafeli sana. Tanzania sisi tuna timu 2 Maarufu za Simba na Yanga Afrika nzima ambapo Kwa kofua hiyo ilitakiwa Serikali na TFF itumie ku lobby Ili Makao Makuu ya Taasisi hizi za Kimataifa yawe Arusha.

Arusha ndio centre ya Utalii Tanzania na ni jirani na Miji yote Mikuu ya EAC lakini tayari ni Makao Makuu ya Baraza la Michezo la Afrika, inakuaje tumepitwa na hii fursa ya kuwa makao Makuu ya Vilabu Afrika?

Kenya Haina lolote kwenye soka ila imetuoiga bao kwenye hii lobbying, why?

Serikali jifunzeni kufanya Promo ya Miji yetu yenye hadhi ya Kimataifa, hakuna kitu kinakuja bila lobbying.

Kiufupi imeniuma sana na imenikera.

==

Pia soma: Kenya inaendelea kutuacha Tanzania: Ofisi za NBA Africa zafunguliwa Kenya kusaidia kukuza vipaji na mchezo wa katika Kikapu
 
Kama Serikali Kuna mahala inafeli sana. Tanzania sisi tuna timu 2 Maarufu za Simba na Yanga Afrika nzima ambapo Kwa kofua hiyo ilitakiwa Serikali na TFF itumie ku lobby Ili Makao Makuu ya Taasisi hizi za Kimataifa yawe Arusha.

Arusha ndio centre ya Utalii Tanzania na ni jirani na Miji yote Mikuu ya EAC lakini tayari ni Makao Makuu ya Baraza la Michezo la Afrika, inakuaje tumepitwa na hii fursa ya kuwa makao Makuu ya Vilabu Afrika?

Kenya Haina lolote kwenye soka ila imetuoiga bao kwenye hii lobbying,why?

Serikali jifunzeni kufanya Promo ya Miji yetu yenye hadhi ya Kimataifa,hakuna kitu kinakuja bila lobbying.

Kiufupi imeniuma sana na imenikera.

Nchi yoyote isiyo na demokrasia (Katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi) haiwezi kupewa kipaumbele kwenye jambo lolote , subirini moto zaidi
 
International organization yeyote ile ita prefer Kenya over TZ anyday. TZ is very conservative inahitaji kubadilisha mindset za wadanganyika wajue Dunia sio kisiwa you have to work with other.

Balozi zote zinafunga milango yao bongo zinahamia Kenya. They easily serve EAC yote tokea Kenya ila sio bongo.

Changamoto nyingi sana bongo.
 
Mentality za kijamaa nazo ni shida tupu.
 
Kwani hata bomba la mafuta si walitaka liende Kenya? Hao aliwaweza Magu, huyu mama hopeless
Watz wengi mna akili za kijinga sana.

Aliye kwambia CAF wapo kwa ajili kufanya maamuzi kwa misingi ya kunufaisha nchi fulani kisiasa na kiuchumi ni nani?

Kabla hujajiuliza hizo ofisi kupelekwa kenya badala ya Tz, kwann kwanza ujajiuliza ni kwann hawaja zipeleka hizo ofisi nchini Misri, Morocco,Ghana, Cameron, s.africa au Algeria ambao ndo magiant ya mpira barani Africa?

Watz tupunguze ujuaji wa kipumbavu.
 
Mashirika ya kimataifa huwa yanafanya uchunguzi kabla ya ku-implement kitu chochote.

Ninauhakika hawakuchagua Kenya kwa bahati Mbaya.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Watz wengi mna akili za kijinga sana.

Aliye kwambia CAF wapo kwa ajili kufanya maamuzi kwa misingi ya kunufaisha nchi fulani kisiasa na kiuchumi ni nani?

Kabla hujajiuliza hizo ofisi kupelekwa kenya badala ya Tz, kwann kwanza ujajiuliza ni kwann hawaja zipeleka hizo ofisi nchini Misri, Morocco,Ghana, Cameron, s.africa au Algeria ambao ndo magiant ya mpira barani Africa?

Watz tupunguze ujuaji wa kipumbavu.
Wewe umejiuliza hayo maswali unayouliza kwamba nimejiuliza?
 
Tukilaumu wenyewe maana tulizingua toka mwanzo kutaka Arusha iwe ndiyo makao makuu ya EA. Toka mwanzo Kagera ndiyo ilitakiwa iwe makao makuu ya shughuli za EA na sasa hivi tusingehitaji kutumia nguvu kuzishawishi taasisi za kimataifa kuja pale. Pale ndiyo kuna ukaribu na nchi zote za ukanda huu.
 
Back
Top Bottom