Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,108
- 5,626
subiri nikusaidie,Tukianzisha hii itatengeneza thread nyingine, hapa sio pake....trust me, pita kushoto
a)aliye laaniwa ni canan,mtoto Hamu ambaye ni mtoto wa tatu wa Nuhu!Nuhu ali mlaani mjukuu wake baada ya Hamu kumchungulia baba yake alipokuwa amelewa chakali
b)Ishmael ni mtoto mkubwa wa Ibrahimu aliyemzaa nje ya ndoa na Kijakazi wake yule Hagar wa Misri,na huyu Mungu alimbariki baraka nyingi,hata kumletea chemu chemu jangwani wakati wakienda Misri na Mama yake baada ya Sara kuwafukuza!
NB:Wakristo wengi Haisomi Biblia Hasa Agano la Kale!
Sasa ebu piga time difference kati ya Ibrahimu na Nuhu!