The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,906
- 2,885
Nchi wanachama wa jumuiya ya nchi za kiisilam OIC, leo kwa kauli moja zimetoa msimamo wao kuziagiza nchi wanachama kupiga marufuku ununuaji wa bidhaa zinazozalishwa au kutengenezwa na Israel kwa kile wanachodai kuwa ni ukaliaji kimabavu wa Israel katika maeneo ya Wapalestina.
Wamechukua hatua hiyo kama kuibinya Israel dhidi ya kile wanachokiita ni udhalimu na ukandamizaji wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wapalestina.
Je nchi ingeingizwa mkenge na yule aliyekua waziri wa mambo ya nje alietaka na urais pia kujiunga kwenye hii jumuiya, haingempa Magufuli wakati mgumu?