Wakati Rais akiimarisha ushirikiano na Israel, jionee kinachoendelea

Tukianzisha hii itatengeneza thread nyingine, hapa sio pake....trust me, pita kushoto
subiri nikusaidie,
a)aliye laaniwa ni canan,mtoto Hamu ambaye ni mtoto wa tatu wa Nuhu!Nuhu ali mlaani mjukuu wake baada ya Hamu kumchungulia baba yake alipokuwa amelewa chakali
b)Ishmael ni mtoto mkubwa wa Ibrahimu aliyemzaa nje ya ndoa na Kijakazi wake yule Hagar wa Misri,na huyu Mungu alimbariki baraka nyingi,hata kumletea chemu chemu jangwani wakati wakienda Misri na Mama yake baada ya Sara kuwafukuza!
NB:Wakristo wengi Haisomi Biblia Hasa Agano la Kale!
Sasa ebu piga time difference kati ya Ibrahimu na Nuhu!
 
[QUOTE="Rutakumwa Kyagulani, post: 15512874, Wakristo hawawatetei wayahudi kwa kudhani ni wenzao,mm nyamwezi au mmakonde wa tanganyika myahudi tangu lini anaweza kua mwenzangu.hapo kuna swala la imani linahusika na ndo maana wakristu wanashikamana na wayahudi
Wewe unadhani waarabu wanawapenda sana wapalestina???fatilua madhila ya wapalestina huko lebanon na kuwait,hapo napo kuna swala la imani ya kiislamu,wameshindwa watetea melfu ya wasyria wanaokufa kama kuku iwe wapalestina
 
Zuzu wewe,,unaacha kumuomba mungu alibariki taifa lako unaloishi na familia yako,unaomba mungu abariki taifa LA chimbuko LA mashoga, wakibarikiwa wale we utanufaiki na nini labda kwa mfano?!_____
mkuu hawa viwavi hata hawajui...wanawaombea watu ambao hawana hata na wao!
 
nchi wanachama wa jumuiya ya nchi za kiisilam oic, leo kwa kauli moja zimetoa msimamo wao kuziagiza nchi wanachama kupiga marufuku ununuaji wa bidhaa zinazozalishwa au kutengenezwa na israel kwa kile wanachodai kua ni ukaliaji kimabavu wa israel katika maeneo ya wapalestina wamechukua hatua hiyo kama kuibinya israel dhidi ya kile wanachokiita ni udhalimu na ukandamizaji wa israel dhidi ya wananchi madhulum wapalestina. je nchi ingeingizwa mkenge na yule aliyekua waziri wa mambo ya nje alietaka na urais pia kujiunga kwenye hii jumuiya haingempa magufuli wakati mgumu.??
Sasa mataifa ya kislam yakisusa sis inatuhusu nin! Bongo taifa maskin tunahitaji washirika popote pale kukuza uchumi.ww vp?
 
K
Ina maana wewe hujui kama mayahudi walilaaniwa na Mwenyezimungu kwa kukataa manabii na kuwaua baadhi yako? Kumbuka Palestrina wapi waislamu na wakristo na wrote wanateswa na utawala dhalimu wa kiyahudi. Tatizo hamsomi mkayajua mambo. Wakristo wengi wanawatetea mayahudi wakidhani ni wenzao. Wale hawamtambui Yesu wala Mahammad (a.s).
Kati ya wayahudi na waarabu Wapi wana dalili za laana, angalia Syria, Iraq, Afghanistan, Yemen, libya, Egypt......
 
Angalau umewaeleza nawe, watu hawafahamu kabisa wayahudi wana mtazamo upi, kuna myahudi mmoja alikuja hotelini bagamoyo, wadada wawili wakawa wana mdadisi kuhusu Yesu na mambo ya dini akawaambia yeye hafahamu kabisa wanachozungumza. Ndio maana kuna mataifa mengine ya kikristo wayahudi watotohuwa wanapata sana shida mashuleni,katika nchi zenye watu wanaofahamu uzuri kuhusu uyahudu, uislamu na ukiristo
Tangu lini kipofu akamuongoza kipofu mwenzake? Poleni
 
Una
we acha wang'ae ng'ae macho tu!hao mayahudi hawaamini kama masihi kesha kuja,wana amini kristo wa ukweli bado hajazaliwa!unajua wayahudi hawautambuhi ukristo?wenyewe wamebakia kuimba kuwa "ataye kulaani nitamlaani,atayekubariki nitambariki"!hawa wakristo ambao hata agano la kale kwa kulisoma ni shida wanaamini hayo maneno yanawahusu wanaisraeli,wakati lilikuwa ni agano kati ya Mungu na Ibrahimu,kama ni agano la wanaisraeli hili haliwahusu,maana kipindi ahadi hii inatolewa taifa la israeli lilikuwa halipo!kama ni agano la Mungu na Israeli ukasome Agano la Pale Mlima Sayuni!Agano ambalo liliweka conditions kwa wana israeli,kuwa kama wakitenda mema watabarikiwa,wakitenda dhambi wataadhibiwa!sasa huu msemo wakusema,"atayekubariki nitambariki,atayekulaani nitamlaani" kwa wana israel unaingiaje hapo juu kwa huyo mwandishi?someni biblia ninyi,hasa hasa agano la kale na mlielewe,na muache kumezeshwa porojo na viongozi wenu wa dini!
Si kujikusanya na kuunda taifa lao mwaka 1948 lilitokea by chance???soma ufunuo vita ya gog na magog dhidi ya israel na jinsi taifa hilo lilipokalibiwa kuangamizwa mpaka mkono wa mungu ukawaokoa.WATATOA MATAMKO NA MATAMKO lakini ISRAEL IS THERE TO STAY.
 
Kwa kifupi bidhaa zinazotengenezwa maeneo yayoitwa kukalia kwa mabavu yatasusiwa hata baadh ya nchi za ulaya walitaka kufanya hivyo.
 
Ina maana wewe hujui kama mayahudi walilaaniwa na Mwenyezimungu kwa kukataa manabii na kuwaua baadhi yako? Kumbuka Palestrina wapi waislamu na wakristo na wrote wanateswa na utawala dhalimu wa kiyahudi. Tatizo hamsomi mkayajua mambo. Wakristo wengi wanawatetea mayahudi wakidhani ni wenzao. Wale hawamtambui Yesu wala Mahammad (a.s).
Mbona wanatusua kinoma hiyo laana iko wapi?
 
Ni kuanzia Ibrahimu na kizazi chake chote?
nah,hiyo ilikuwa exclusive kwa Ibrahim!agano la wanaisraeli lilikuwa pale sinai! Nitakupa tofauti,Ibrahimu alikuwa na Imani hata kabla ya kukutana na Mungu,kwa hiyo na ndio alipo mubariki aku mwekea conditions!ila chukua biblia yako,from exodus,number,levites to deuteronomy,hakuna sehemu ambayo wana israel walipewa free lunch kama Ibrahim...agano lao Mungu,lilikuwa:"if you love me,i will...bless you "'"if you dont obseve my commands,i will curse you..."
nakupa home work:hivi ni kwanini injili ya kristo katika agano jipya ilikubaliki zaidi non-israelites,kuliko the real israelites?
 
imeandikwa wapi kuwa Israel ni taifa teule?
Kama unasomaga biblia huwezi kua hujui hilo soma historia ya Israel!! Waarabu wamekua wakishindwa na Israel Mara nyingi ni pale tu waisrael walipomsahau mungu aliwatia mikononi Mwa adui zao na wakitubu aliwarudishia ushindi
 
Ina maana wewe hujui kama mayahudi walilaaniwa na Mwenyezimungu kwa kukataa manabii na kuwaua baadhi yako? Kumbuka Palestrina wapi waislamu na wakristo na wrote wanateswa na utawala dhalimu wa kiyahudi. Tatizo hamsomi mkayajua mambo. Wakristo wengi wanawatetea mayahudi wakidhani ni wenzao. Wale hawamtambui Yesu wala Mahammad (a.s).
nitakurudia baadae
 
we ni mwongo:
a)hivi ishmaeli unamfahamu?
b)babake ishmaeli unamfahamu?
c)nioneshe ni wapi palipo andikwa ishmaeli wamelaaniwa?
Ebu nijubu kwanza hapo,halafu kisha tuendelee
Mm hua naamini dunia bila warabu na IMANI yao ingekua mahali pazuri sana.mbona huskii magaini wa kibudha yaani ni magaidi wa ki********m
 
Una

Si kujikusanya na kuunda taifa lao mwaka 1948 lilitokea by chance???soma ufunuo vita ya gog na magog dhidi ya israel na jinsi taifa hilo lilipokalibiwa kuangamizwa mpaka mkono wa mungu ukawaokoa.WATATOA MATAMKO NA MATAMKO lakini ISRAEL IS THERE TO STAY.
wewe unahitaji twisheni!nina hofu ata ufunuo wa yohana hujawahi kuuelewa!ebu nikusaidie:
a)jifunze kutofautisha kati ya "the spiritual israel" na "political israel"
b)ufunuo wa yohana unaongelea "the spiritual israel"
c)ufunuo wa yohana umeandikwa na mtu ambae alikuwa na chuki na hofu na utawala la roma
d)ikabidi atumie lugha ya picha ili kuwaficha waroma,ila lugha yake ikawa nyepesi kwa wayahudi wenzie kwani lugha ya ufunuo inaendana na kitabu cha kutoka,mambo ya walawi,danieli na ezekieli
e)taifa ya kisiasa la kiesrael lilikufa 70 .A.D,baada ya waroma kuuharibu mji wa yerusalem,na ili tukio hata yesu alilitabiri
f)taifa unaloliona leo,ni kundi la watu ambao hawataki kukibali kuwa dunia imebadilika,
g)gog na magog,ni lugha ya picha tu hyo,ebu soma vizuri kitabu cha ezekieli ayo maneno utayakuta,hata ukirudi kitabu cha mwanzo utayakuta!
NB:Wakristo wengi hawaisomi Biblia,hasa Agano la Kale
 
Back
Top Bottom