Uganda, Rwanda, Burundi, Mdagasca nao wote hawa wanacheza na nyakati ili kupata msaada kutoka kwa mabeberu? I think you are mentally disorganized!Wakenya siyo wa kuamini mkuu. Wana asili ya kucheza na nyakati. Nadhani hiyo ni maksudi wali wapate misaada toka kwa mabeberu.
Hama nchi nenda nchi wanazotangaza wagonjwa wa covid19. Bila shaka nchi hizo wagonjwa wao hawapati maumivu makali kama Tanzania tusiyotangaza au jinyonge usikutwe na covid19Uganda, Rwanda, Burundi, Mdagasca nao wote hawa wanacheza na nyakati ili kupata msaada kutoka kwa mabeberu? I think you are mentally disorganized!
Utoaji wa taarifa hizi unatia mashaka sana na probably kusababisha hofu unnecessarily. Kama Kenya wapo serious na hawapolitisaizi jambo hili, taarifa zao ziwe detailed (labda zipo na hatujui pa kuzipata..)Kufikia jana tayari Kenya imerekodi visa 15601 vya wagonjwa wa korona huku visa 700 vikirekodiwa kwa Jana pekee...
Utoaji wa taarifa hizi unatia mashaka sana na probably kusababisha hofu unnecessarily. Kama Kenya wapo serious na hawapolitisaizi jambo hili, taarifa zao ziwe detailed (labda zipo na hatujui pa kuzipata..)
Kati ya hivyo visa 15,601: wangapi wamepona kabisa na kurudi home na sasa wanadunda fresh tu?, wangapi walifariki na wangapi bado wapo hoi kabisa hospitalini.
Kati ya hivyo visa vipya 700: Wangapi "walijipeleka" wenyewe kupimwa na hawana dalili zozote, wangapi wapo hospitalized kwa uangalizi wa kawaida, wangapi wapo ICU under ventilators?
Harafu hizi figure might be misleading. Huenda wanajumlisha watu waliopima hata mara tano peke yao tu. Ndio maana hata baadhi ya Nchi za mabeberu wanafikiria kuacha kutoa figures.
Wanazitoaje? Kuna dedicated public link? please shareTaarifa za waliopona mbona hutolewa kila siku, ukiwa na nia ya kufahamu zipo, waliopimwa, waliopona, waliofariki, jinsia, umri na kadhalika..... Hatuoni sababu zozote za kuficha.
Tanzania sio maskini shika adabu yako. Alafu unaposema Kenya no tajiri unamlinganisha na nani. Nano sasa kajichokea. Wenzako walishasahau hip kitu inaitwa corona na Maisha yanaendelea wewe endelea kujichosha Kwa Pima Pima tu ili kuwaridhisha mabwana zenu itafikia Siku utajielewa tu.Nimesema hili mara nyingi tu, ifahamike Kenya tumeamua hatutajichokea kwa umaskini kama Tanzania, muhimu sana mkafahamu corona bado haipo sana Kenya kihivyo, hii hali tukiamua kuificha kama Tanzania inafichika tu, maana vifo vyenyewe tangu corona itajwe vimefika 200 kwa miezi yote hiyo, ni idadi ya vifo ambavyo vinaweza kufichika kama tungekua nchi maskini isiyowajali watu wake, pia waliopimwa na kukutwa nacho mpaka sasa ni 15,601 na wengi kati yao hawana dalili, ni ile tu walipimwa kisa waliwahi kuhusiana na walioumwa na kugunduliwa.
Kwa kifupi, nashukuru sana serikali yetu kwka jitihada zake za kuendelea kupima kupima kupima na kutolea taarifa ili tusiishi kwa kujidanganya kama wanavyofanya Watanzania, ni bora sana kupambana na hali badala ya uishi maisha ya kujichokea na kujiaminisha vitu vya hovyoo. Corona ipo, sema kwa Tanzania imewekwa kuwa aibu kwamba hata ukiumwa inabidi uifiche na kuifanya siri ya ndani, majirani wakigundua wanakunyanyapaa, maisha ya hovyoo sana kwa kweli halafu ni sera kabisa serikalini.
.Nimesema hili mara nyingi tu, ifahamike Kenya tumeamua hatutajichokea kwa umaskini kama Tanzania, muhimu sana mkafahamu corona bado haipo sana Kenya kihivyo, hii hali tukiamua kuificha kama Tanzania inafichika tu, maana vifo vyenyewe tangu corona itajwe vimefika 200 kwa miezi yote hiyo, ni idadi ya vifo ambavyo vinaweza kufichika kama tungekua nchi maskini isiyowajali watu wake, pia waliopimwa na kukutwa nacho mpaka sasa ni 15,601 na wengi kati yao hawana dalili, ni ile tu walipimwa kisa waliwahi kuhusiana na walioumwa na kugunduliwa.
Kwa kifupi, nashukuru sana serikali yetu kwka jitihada zake za kuendelea kupima kupima kupima na kutolea taarifa ili tusiishi kwa kujidanganya kama wanavyofanya Watanzania, ni bora sana kupambana na hali badala ya uishi maisha ya kujichokea na kujiaminisha vitu vya hovyoo. Corona ipo, sema kwa Tanzania imewekwa kuwa aibu kwamba hata ukiumwa inabidi uifiche na kuifanya siri ya ndani, majirani wakigundua wanakunyanyapaa, maisha ya hovyoo sana kwa kweli halafu ni sera kabisa serikalini.
Nyie endeleeni kupima mkuu!Taarifa za waliopona mbona hutolewa kila siku, ukiwa na nia ya kufahamu zipo, waliopimwa, waliopona, waliofariki, jinsia, umri na kadhalika..... Hatuoni sababu zozote za kuficha.
Ipo wapi maana maisha mtaani yanaendelea kama kawaida watu hawaumwi.Kufikiri Corona ipo sana hapo Kenya na Tanzania haipo ni utahira!
Kuwa na adabu, unaitaje nchi ya uchumi wa Kati masikini?Nimesema hili mara nyingi tu, ifahamike Kenya tumeamua hatutajichokea kwa umaskini kama Tanzania, muhimu sana mkafahamu corona bado haipo sana Kenya kihivyo, hii hali tukiamua kuificha kama Tanzania inafichika tu, maana vifo vyenyewe tangu corona itajwe vimefika 200 kwa miezi yote hiyo, ni idadi ya vifo ambavyo vinaweza kufichika kama tungekua nchi maskini isiyowajali watu wake, pia waliopimwa na kukutwa nacho mpaka sasa ni 15,601 na wengi kati yao hawana dalili, ni ile tu walipimwa kisa waliwahi kuhusiana na walioumwa na kugunduliwa.
Kwa kifupi, nashukuru sana serikali yetu kwka jitihada zake za kuendelea kupima kupima kupima na kutolea taarifa ili tusiishi kwa kujidanganya kama wanavyofanya Watanzania, ni bora sana kupambana na hali badala ya uishi maisha ya kujichokea na kujiaminisha vitu vya hovyoo. Corona ipo, sema kwa Tanzania imewekwa kuwa aibu kwamba hata ukiumwa inabidi uifiche na kuifanya siri ya ndani, majirani wakigundua wanakunyanyapaa, maisha ya hovyoo sana kwa kweli halafu ni sera kabisa serikalini.
Wanazitoaje? Kuna dedicated public link? please share
Hama nchi nenda nchi wanazotangaza wagonjwa wa covid19. Bila shaka nchi hizo wagonjwa wao hawapati maumivu makali kama Tanzania tusiyotangaza au jinyonge usikutwe na covid19
Good for you. Time to open up now maana hakuna ajuaje hii kitu itapersist mpaka lini. Might be there forever kama Cholera..fatality rate bado iko chni sana Kenya, 1.7%..
Kufikiri Corona ipo sana hapo Kenya na Tanzania haipo ni utahira!