Kufikia jana tayari Kenya imerekodi visa 15601 vya wagonjwa wa korona huku visa 700 vikirekodiwa kwa Jana pekee. Hali inazidi kuwa mbaya zaidi kwa nchi hii jirani.
Mwingiliano baina ya raia wa nchi hizi mbili ni mkubwa mno na kama Tanzania ikiendelea kurelax na kuona kwamba hili siyo gonjwa la Watanzania, tunaweza kujikuta tunarudi kule kule tulikotoka.