The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,324
Majaliwa yupo na kesho anazindua vishikwambi Wizara ya ElimuWakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya nchi kwa inayoitwa mialiko ya kitaifa.
Rais wa nchi yuko China, Makamu wa Rais yuko Ivory Coast, Waziri mkuu yuko Korea Kusini, mwanziri wengine wako Misri, wengine Kenya, wengine ulaya.
Kusafiri ni jambo jema lakini kusafiri safiri sio jambo jema.
Sielewi, viongozi wetu akili zao zinawaza kwamba tutatatua changamoto zetu kwa wao kusafiri safiri kweli? Kikwete alitumia miaka 2 ya uongozi wake kua nje ya nchi lakini bado tuko masikini.
Ingekua safari za nje zinaleta maendeleo kwa safari za Kikwete Tanzania ingekua kama California ama Texas kwa maendeleo ama hata kama Ujerumani maana kwa kikwete viongozi wote wakubwa Duniani walikuja Tanzania lakini mwisho wake tuliishia kuibiwa kwa mikataba ya hovyo.
Rais ni mfariji mkuu wa nchi lakini wakati huu ambao taifa linakabiliwa na changamoto kibao, viongozi wetu wao ni safari na kumtupia lawama mungu kwamba ndio ameyaleta haya sio wao.
Tanzania alieturoga alituweza.
Wakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya nchi kwa inayoitwa mialiko ya kitaifa.
Rais wa nchi yuko China, Makamu wa Rais yuko Ivory Coast, Waziri mkuu yuko Korea Kusini, mwanziri wengine wako Misri, wengine Kenya, wengine ulaya.
Kusafiri ni jambo jema lakini kusafiri safiri sio jambo jema.
Sielewi, viongozi wetu akili zao zinawaza kwamba tutatatua changamoto zetu kwa wao kusafiri safiri kweli? Kikwete alitumia miaka 2 ya uongozi wake kua nje ya nchi lakini bado tuko masikini.
Ingekua safari za nje zinaleta maendeleo kwa safari za Kikwete Tanzania ingekua kama California ama Texas kwa maendeleo ama hata kama Ujerumani maana kwa kikwete viongozi wote wakubwa Duniani walikuja Tanzania lakini mwisho wake tuliishia kuibiwa kwa mikataba ya hovyo.
Rais ni mfariji mkuu wa nchi lakini wakati huu ambao taifa linakabiliwa na changamoto kibao, viongozi wetu wao ni safari na kumtupia lawama mungu kwamba ndio ameyaleta haya sio wao.
Tanzania alieturoga alituweza.
hahahahahaKumbe nchi inajiongoza yenyewe? (Auto pilot) wanajeshi wetu mnakwama wapi?
Waache watafute fursa na misaada kwa taifaWakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya nchi kwa inayoitwa mialiko ya kitaifa.
Rais wa nchi yuko China, Makamu wa Rais yuko Ivory Coast, Waziri mkuu yuko Korea Kusini, mwanziri wengine wako Misri, wengine Kenya, wengine ulaya.
Kusafiri ni jambo jema lakini kusafiri safiri sio jambo jema.
Sielewi, viongozi wetu akili zao zinawaza kwamba tutatatua changamoto zetu kwa wao kusafiri safiri kweli? Kikwete alitumia miaka 2 ya uongozi wake kua nje ya nchi lakini bado tuko masikini.
Ingekua safari za nje zinaleta maendeleo kwa safari za Kikwete Tanzania ingekua kama California ama Texas kwa maendeleo ama hata kama Ujerumani maana kwa kikwete viongozi wote wakubwa Duniani walikuja Tanzania lakini mwisho wake tuliishia kuibiwa kwa mikataba ya hovyo.
Rais ni mfariji mkuu wa nchi lakini wakati huu ambao taifa linakabiliwa na changamoto kibao, viongozi wetu wao ni safari na kumtupia lawama mungu kwamba ndio ameyaleta haya sio wao.
Tanzania alieturoga alituweza.
InfroprenuerWatanzania ni sawa na nyumbu tu,wana swagwa kama ma ng'ombe wala haya hoji yanapo pelekwa...Ni msobe msobe tu, Haya twende na yenyewe hayo yanaenda wala hayachukui hatua ni kubaki kulalamika yakibweka bweka tu!
Wakapate exposure, solutions mbalimbali, kushinda vikwazo mbalimbali na si vile mdhaniavyo kuomba misaada,cdm na pros, akili zao wanazijua wenyewe.Waache watafute fursa na misaada kwa taifa
Una wazimu mbona yupo hapa nchini:Wakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya nchi kwa inayoitwa mialiko ya kitaifa.
......., Waziri mkuu yuko Korea Kusini, .........
Miongoni mwa jambo ambalo litashughukikiwa haraka ni mradi wa maji toka rufiji, hakika viongozi wetu ni werevu kweli stay tune......!Mwa jinsi tatizo la maji lilivyo serious kwa wenzetu nchi ingepinduliwa hii
Watanzania wanapumbazwa na Amani ya nchi... ukijaribu kuhoji unakamatwa una ambiwa unataka kuvunja amani ya nchi...Akili za wabongo zimelala usingizi wa pono...Infroprenuer
Umenena. Yaani kila kukicha mtu mmoja anasifiwa utadhani ndiye alituma hiyo nchi na watu wanashinda njaa ila hawaoni.
Majanga kila Kona watu wamelala kimya! Polisi naonwana matatizo Lukuki lakini wataumia watu kesema ya moyoni na kuandamana.
Eti mtu kamsema Rais anapigwa faini ya mil. 5 na kifungo !! What the h..l!!
Nchi imekaa utopolo mtupu! Hawaoni nchi za wengine Rais anasema hata kuandikwa mitandaoni na mabango mtaani na Kuwajibika Kwamfano wa happy Uingereza!!