Wakati mwingine Dunia ina maajabu mengi

Wakati mwingine Dunia ina maajabu mengi

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,855
Dunia Ina maajabu mengi Ila Kama yupo mwenye kazi Ni Mwenyezi Mungu.

- Mgonjwa anaomba apone mapema.

- Muuza jeneza anaomba apate riziki kupitia mgonjwa alie hospitali.

- Daktari naye anaomba mgonjwa yule asipone mapema ili aendelee kulipa bill daktari apate riziki pia.

Wakulima wanalia ashushe mvua juu ya shamba dobi ndo anataka jua liwake aanike nguo.

Mwalimu anaomba wanafunzi wafaulu. Wanafunzi wao wanaomba wafeli wengi wao Mwalimu afukuzwe kazi kwa sababu hawalipendi somo.
 
Unamuonea swala huruma kisa amekabwa na simba, wakati ndio asili inataka simba amle swala.

Ndio sababu hata kuwa nahisi inawezekana matatizo yangu sometime yapo ili mwingine awe na hali nzuri.

Mapenzi ya Mungu yatukuzwe jamani.
 
Unamuonea swala huruma kisa amekabwa na simba,wakati ndio asili inataka simba amle swala.

Ndio sababu hata kuwa nahisi inawezekana matatizo yangu sometime yapo ili mwingine awe na hali nzuri.

Mapenzi ya Mungu yatukuzwe jamani.
Amen wakati mwingine nahisi wengine hawakusoma ili wasomi waonekane wana akili je Kama tungesoma wote ingekuaje
 
Unamuonea swala huruma kisa amekabwa na simba,wakati ndio asili inataka simba amle swala.

Ndio sababu hata kuwa nahisi inawezekana matatizo yangu sometime yapo ili mwingine awe na hali nzuri.

Mapenzi ya Mungu yatukuzwe jamani.
Umenifikirisha !!
 
Unamuonea swala huruma kisa amekabwa na simba, wakati ndio asili inataka simba amle swala.

Ndio sababu hata kuwa nahisi inawezekana matatizo yangu sometime yapo ili mwingine awe na hali nzuri.

Mapenzi ya Mungu yatukuzwe jamani.
Siyo swala tu, hata kuzini pia si dhambi, kunafanya ongezeko la watu.
 
Uhalifu ukiisha tutakula wapi sisi polisi/
Uendelee endelee lakini usizidi kiasi/
Kwani ukizidi sana si tutakufa kwa risasi/
Au sio muheshimiwa hakimu Alphonsi!/

Ofcoz kabisa afande Waitara/
Hata mi hakimu ntakosa ajira/
Endapo ongezeko la kesi litadorora/
Fikiri ntamuhukum Nani pasipo wakora/

Jiti ft Waziri Sonyo - Ndoto tata
Jamaa aliongelea kila kitu jinsi tunavyotegemeana maisha haya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom