Wakati Mapinduzi yanafanyika, mzee Karume alikuwa wapi?

Andika makala uishauri serikali iwe inawaalika ndugu wa John Okelo kwenye sherehe za mapinduzi.Jokes!Usijaribu.Utaitwa na bunge ujieleze.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Simulizi za Okello na Mapinduzi ya Zanzibar n Fitna tupu. Ikiwa historia ya Mapinduzi imejaa ukakasi, basi hata ushujaa anaovikwa Okello nao si lolote si chochote, ila binafsi Okello alipenda kutambulika kama shujaa na wakat mwingine akijiweka katika hadhi ya mithili ya Comrade Che Guavara. Ila kwa ufupi huyu bwana alikuwa mamluki na mwenue mitazamo hasi mno. Fuatilia masimulizi ya moja kwa moja kwa waliokuwepo kabla ya Mapinduzi, kisha fuatilia kutimuliwa mara mbili kwa John Okello, moja ikiwa Tanganyika uwanja wa Ndege mara ya kwanza akishinikizwa kuondoka Tanzania na Oscar Kambona 1963, na mara ya pili kufukuzwa kwake kwa amri ya Sheikh Karume baada ya Karume kuikataa rai ya kuuliwa kwa Okello. Alikuwa Mfitini, mrongo na mwenye kasumba ya kupenda ukuu!!
 
Simulizi za upande mmoja?Haziaminiki.Alishiriki "mapinduzi" au hakushiriki?Swali la msingi.
 
Sisi waafrika Hata Historia ya miaka ya 1960s hatuna na kama zipo nyingi za kudanganyana .. Ndo mana bado Utaskia hadi MTU wa kwanza kuungundua(kuona) mlima Kilimanjaro ni mzungu ili kuonekana si so kitu... Mkuu kila LA heri kwenye swali lako hilo wajuzi waje
Ni muhimu historia ya nchi hii iandikwe kwa kina sasa.
 
Naendelea kujitafakari, muda bado upo... ila kwa hao ambao wamejitokeza, wenye sifa za kutosha kutupatia Spika bora, tayari wapo, labda nipeleke tuu jina, kwa lengo la kuipush tuu CV na kukichangia chama changu.
P
Kile kiti cha mkuu wa bunge aliyeondoka kina jini makata mkali! kwa umri wako weye utaweza kweli!!! haya weee!! ndugai hakuondoa makorkoro yake pale ohooo!! angalia tusije kukupoteza kijana
 
bahati nzuri sana, mimi sii muumini wa nguvu za giza.
P
 
Mtafute marehemu sheikh ilunga ana madini mengi saana kuhusu huu muungano.
 
Mfalme hajauliwa ...watoto wa mfalme hawajauliwa wala kudhurika ...mawaziri hawajadhurika ...viongozi wa juu wa serikali ya kifalme wote wameishi salama mpaka kufa kwao ....waliouwawa ni raia waliokua wanatoka harusini ...wakaazi wa kawaida mitaani mijini na mashamba ...huu sio muda wa kujisifu bali ni muda wa kuomba kwa mungu ...kusali na kutafakari
 
Fafanua ndugu
 
Back
Top Bottom