Mapinduzi ya Zanibar

Mapinduzi ya Zanibar

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,917
Reaction score
6,536

View: https://youtu.be/rRX69RNBKRA?si=iYAr-ihL2RkNcnDY
Video inatrend sasa hivi. Mzee Thani anaelezea jinsi Kassim Hanga alivyouawa kikatili; jinsi wafungwa walivyoteswa gerezani.
Jinsi alivyogambana na Karume kwa sababu alikuwa hataki kumnunulia Mama Fatma Karume vitu vizuri.( Mzaa Thani alikuwa Waziri wa Fedha wakati ule). ;
Anaelezea mambo ya ukatili yaliyofanywa na Ahmed Diria,mambo ya ukatili yaliyokuwa yanafanywa na viongozi karibuni wote wa Mapinduzi walipopewa nafasi kuiongoza idara hii au ile.
Anasema, baada ya kutesa watu,wakageukiana,wakaanza kuuana wenyewe.
Anasema Mapinduzi yalikuwa yana matatizo mengi. Tuchukue dakika tano kuyazomea.
Naomba kuwasilisha.
Naomba kufanya review ya hiyo video
 
Hakuna Mapinduzi ya Zanzibar pasipo kumtaja John Okello.
Oh,kila mtu ametajwa.
Okello,anasema Mzee Thani, alikuwa anawatukana Wahindi na Waarabu ambao wamezaliwa Unguja,na babu zao wamezaliwa Unguja,anawauliza,,",Kwa nini mnakuja hapa kugombea ubunge,kwa nini msiende Bombay kugombea ubunge; wakati yeye Okello amezaliwa Uganda.
 
View: https://youtu.be/rRX69RNBKRA?si=iYAr-ihL2RkNcnDY
Video inatrend sasa hivi. Mzee Thani anaelezea jinsi Kassim Hanga alivyouawa kikatili; jinsi wafungwa walivyoteswa gerezani.
Jinsi alivyogambana na Karume kwa sababu alikuwa hataki kumnunulia Mama Fatma Karume vitu vizuri.( Mzaa Thani alikuwa Waziri wa Fedha wakati ule). ;
Anaelezea mambo ya ukatili yaliyofanywa na Ahmed Diria,mambo ya ukatili yaliyokuwa yanafanywa na viongozi karibuni wote wa Mapinduzi walipopewa nafasi kuiongoza idara hii au ile.
Anasema, baada ya kutesa watu,wakageukiana,wakaanza kuuana wenyewe.
Anasema Mapinduzi yalikuwa yana matatizo mengi. Tuchukue dakika tano kuyazomea.
Naomba kuwasilisha.
Naomba kufanya review ya hiyo video

Thanks for this, mode do the needful kwenye jina la Zanzibar.
P
 
Back
Top Bottom