Usiku au mchana na kama ni usiku iwepo taa au izimwe ,madirisha yafungwe au yawachwe wazi ,kuna mapazia.
tafadhali saidia utushauri.
Nitafarijika zikiwepo sababu na ukosoaji.
Ukizingatia kutupatia faida.
Sio barazani, uwanjani kabisa ndio kuzuri. Thread ya kipumbavu sana hii.Wakati mzuri ni mchana....barazani pale
Kama enzi ya warumi ππWakati mzuri ni mchana....barazani pale
nahisi ndo ameamkaUshakunywa chai mkuu?
Usiku au mchana na kama ni usiku iwepo taa au izimwe ,madirisha yafungwe au yawachwe wazi ,kuna mapazia.
tafadhali saidia utushauri.
Nitafarijika zikiwepo sababu na ukosoaji.
Ukizingatia kutupatia faida.
Hichi kichwa kipo huku tangu 2012 yaan miaka 11 iliyopita huyu ni mtu mzma aliyejitoa ufahamnna uhakika hiki kichwa hakitafuti kodi, hakilipi bili ya maji, hakilipi umeme, wala hakina wasiwasi wa leo ntakula nini
nna uhakika hiki kichwa hakitafuti kodi, hakilipi bili ya maji, hakilipi umeme, wala hakina wasiwasi wa leo ntakula nini
Shemeji (mke wa kaka) yupo jikoni anaandaaUshakunywa chai mkuu?
Kaka kuna watu wana miaka 40 na bado wanaishi kwenye nguvu kazi za waliowaleta mtu mzima timamu huwezi leta mada kama hii tena muda huuHichi kichwa kipo huku tangu 2012 yaan miaka 11 iliyopita huyu ni mtu mzma aliyejitoa ufaham
Ndiwoooooo ππππππππππnna uhakika hiki kichwa hakitafuti kodi, hakilipi bili ya maji, hakilipi umeme, wala hakina wasiwasi wa leo ntakula nini
Hapana sitaki kuamini kama yupo hapa tangu 2012 mkuu ππππππππππππHichi kichwa kipo huku tangu 2012 yaan miaka 11 iliyopita huyu ni mtu mzma aliyejitoa ufaham
Unawaza kufinyana na hili joto lote mzee, hawa ndo wanasababisha tunapata mvua kwa shidaNdiwoooooo ππππππππππ
ππππππShemeji (mke wa kaka) yupo jikoni anaandaa
Mbna hamtoi nafasi hata ajitete sasaa πππππππππUnawaza kufinyana na hili joto lote mzee, hawa ndo wanasababisha tunapata mvua kwa shida