gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,720
acha tu mwaya tulianziaga maisha sinza tupo wengi sana mie nilipangaga pale karibu na white inn miaka ile tena nilimudu kuish na wadogo zangu 2 basi lol! enzi hizo frige ni za westpoint nilinunuaga kwa mhindi mmoja kkoo, kabati la nguo nilichongaga kwa fundi mwenge pamoja na kitanda. basi nilijiona usipime mchumba akija kwangu anakuta nimeamba kwa pink pink ila engo nilikuwa naraha usipime. nakumbuka na kajiko kangu ka plate moja maskini na a mkaa na likuwa nyumba ya kaupanga huruhusiwi kutumia jiko la umeme. mweheeeee!Yaaaaaaaaaaaaani! umenikumbusha mbali sana ya kupanga geto, mnashindana kuweka vitu vya thamani ndani, nakumbuka frige yangu ya kwanza nilinunuliwa hapo AC GOMES kwenye jengo la Ali hasan mwinyi, sijui sasa hivi linaitwajwe, liko mkabala na mahakama ya kisutu, na kabati languo . nilikuwa nakaaa mitaa ya sinza karibu na flat za BOT, we acha tu, nilikuwa najiona ile mbaya, nikapata kibarua Tanesco , unanitaka. hahahahaah, Loh.
soon alipokuja baba klein kwa kiherehere cha kuanza maisha nikaanza lol! ikabidi niondoke manake niliisha na wadogo zangu nikaanze maisha mm na yeye sasa kama vile sikuwa na kitu. but