Wakali wa umombo JF...

jamani ndo mfalme naingia! huyu window8 anasemaje malikia? si ameoa J.lee huyu?

teh.. wamechelea kabisa!!!

Ngoja nimuite J.lee aje akumwagie hicho kimombo wanachopashana hapa.


et anataka funguo ya pm king

We niruhusu tu miss. Kuna new dictionary nimeipata ina bombastic za kiajemi nataka nikuzawadie.
 
Last edited by a moderator:
Kusifiwa imekuwa balaa? naona umeshusha mbwembwe zoote.

What brother Kiranga does is simply putting together two or three words that mean exactly the same thing (synonyms) but are not widely used in everyday conversation and claims to have a higher command of this language over the rest of JF members.

I agree that vocabulary is one thing but to be great you have to master writing and speech rules (both grammatical and syntax). Your message has to make sense to the audience intended.

That's why Martin Luther King Jr. is considered one of the greatest orators of his time. Not because he couldn't speak 'business' or 'ancient' Shakespearean English...probably...but because he used his mustering of the rules of the language to convey his message to the people and they understood him.

Anyone can look up synonyms in a dictionary and sophisticate even the simplest of messages as, 'I am hungry' but it takes a real guru in a language to present his message..the same message..to different cadres of people...natives...to executives...to business men.
 
Last edited by a moderator:
Au wakali wa lugha ya mama au ung'eng'e,kuulewa umombo si mchezo kaka unaweza ukawa unateleza kama yai ukiongea na kuandika lakini ukiangalia bado ngeli inakuwa mbali,hata kiswahili tunaongea na kuandika ,lakini wanaokijua kiswahili hasa ni wachache sana,kuongea na kuandika si kujua lugha ,lugha ina mambo mengi.
Kuna watu humu waliwahi kumkebei Dr Lwaitama hajui kiingereza kisa akiongea naongea kwa nukta lakini kwa uhalisia Dr Lwaitama naweza kusema kuwa ni mmoja ya watu wachache wanaojua ngeli ya lugha ya mama,wengi tunafikiri kuongea lafudhi ya kimarekani kama Eddy Murphy ndio kujua ngeli .
 
Siwapendi watu wanaojisifu kwa kujua kiingereza wakati kwenye kiswahili tunaboronga kwa kuandika kiswahili kichafu,
'NAJISIKIA FAHARI KWA VILE NAJITAHIDI KUONGEA NA KUANDIKA KISWAHILI FASAHA'

Kwa hilo nakupa pongezi kiswahili fasaha siku hizi kimeota mbawa,na kuna mabadiliko mengi siku hizi kulinganisha na zamani,hata hivyo kama nilivyoandika hapo awali wengi tunadhani eti kwa kuwa tunajua kuandika ,kusoma na kuongea Kiswahili eti ndio tunakijua Kiswahili kumbe wanaojua Kiswahili ni watu wachache sana,tena naweza kusema ukilinganisha kwa wanaojua Kiswahili nafikiri angalau Zanzibar na Kenya utawakuta wengi kuliko sisi hapa Tanganyika
 
Ngoja nimuite J.lee aje akumwagie hicho kimombo wanachopashana hapa.




We niruhusu tu miss. Kuna new dictionary nimeipata ina bombastic za kiajemi nataka nikuzawadie.
hahahahahahahaha sidanganyiki
 
Last edited by a moderator:

hauna link ya hii kitu nikasome mwenyewe
 
kahtaan ni kiboko ya lughaa hio ya malkia

Wengine wanamfuatia kiranga nyani gabu
 
Last edited by a moderator:

Hivi unafahamu kwamba Zanzibar, Comoro, Mauritius pia ni overseas? unaelewa kingereza kweli wewe?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…