Uchaguzi 2020 Namba 1: Wakala wa Tundu Lissu, David Jumbe akabidhiwa fomu ya kugombea Urais kupitia CHADEMA

Kwani huoni sura zilivyo washuka wanaweweseka tu hata kauli wanazotoa unajua tu vichwa havipo sawa
Kumuuwa mtu kisa maoni yake kinzani na yako si sawa ata siku mmoja.Nikushauri comrade ebu achana na hizo kazi maana unabeba dhambi ila nitakukamata tu.
Leo ni siku ya sita tangu nianze kuwatafuta Mafias.
 
Natazama location yako nipo meter 10 pembeni yako
 
Kubwa Ni kwamba Tundu Lissu anawadanganya Mazwazwa, lakini hawezi Rudi nchini kwa kuwa walimpiga Risasi kimkakati ili akirudi nchini apate Kura za huruma kwa kuonesha Majeraha, mkakati umekwama mapema. Dereva walipomficha atakuja choka atasema michongo Yoote. Mwisho Tundu Lissu hawezi Rudi nchini alicheza dili za hovyo na ACACIA.
 
Nashauri Lissu akipitishwa aende kata kwa kata vijijini kupiga kampeni mjini atuachie sisi tutamaliza akifanya hivi atashinda asubuhi na mapema sana, aende aongelee hatima ya wakulima wa korosho, pamba, mkonge kahawa na wengine jinsi ya kuwakwamua njia ni nyembamba ila ni nyeupe asubuhi na mapema 25/10 nguvu ya umma inamtangaza.
 
Hizo kampeni danganya toto zishapitwa na wakati, tunahitaji ajenda za maana katika teknolojia.
 
Nashauri Lissu akipitishwa aende kata kwa kata vijijini kupiga kampeni mjini atuachie sisi tutamaliza akifanya hivi atashinda asubuhi na mapema sana, aende aongelee hatima ya wakulima wa korosho, pamba, mkonge kahawa na wengine jinsi ya kuwakwamua njia ni nyembamba ila ni nyeupe asubuhi na mapema 25/10 nguvu ya umma inamtangaza.
Kwa kifupi hakuna ahueni kwenye kilimo cha mazao yote. Kuna clip ya diwani wa momba ilikuwemo humu anaelezea jinsi maamuzi ya serikali ya awamu ya Tano yalivyoharibu biashara ya mahindi na kuongeza umaskini kwa wakulima.

Kwa kifupi sioni majibu ya hoja za Lissu kwa Lumumba mwaka huu. Lissu kawavuruga vibaya Lumumba 😂😂😂
 
NASAPOTI UPINZANI ILA SIDHANI KAMA WAKO TAYARI KUONGOZA NCHI, LABDA MIAKA 20 IJAYO
Endelea kuota. Nguvu ya umma inaenda kuwaweka madarakani hapo October 2020. Hutaamini macho yako nakwambia.

Hata CCM kuna watu wanaamini bora upinzani uchukue mwaka huu kuliko Uncle Magu apewe 5 nyingine.
 
MKUU HAYO NI MAMBO YA KUDANGANYANA KWENYE MITANDAO TU, CCM BADO WAKO IMARA MNO, BADO SAFARI NI NDEFU KWA UPINZANI HUU
 
Back
Top Bottom