Wakala wa majini
Senior Member
- Jan 19, 2020
- 139
- 137
Habari zenu wakuu,mie naitwa wakala wa majini,na huu ndio mwanzo wangu kujiunga na jf ijapo kuwa nimekuwa nikifuatilia kwa umakini thread zote za jf,katika forum zote,kama forum ya intelligence,entertainment,international news na nyinginezo.
Kipindi hiko nilikuwa non member,ila mshawasha ulionipa shinikizo la kutaka kuchangia katika Mada moto moto za jf,zilipelekea Mimi kujiunga na jf.Mie kidume cha nguvu,ndio niko katika mwanzo mwanzo wa miaka yangu ya ishirini.Pia mimi nimfanya biashara.Wana jf,nawaombeni munikaribishe jamani