wakaka kama vile hamna mioyo ya kuumia

wakaka kama vile hamna mioyo ya kuumia

hahahahahaahah nimecheka vipi na hiyo reserve list lol..
Wanaume wanakazi kweli ..

Haya bana nimekimbiwa na la kusema..
Ila afadhali umerudi uchangamshe MMU tena ..:majani7:
lazima niwe na reserve list huwezi jua manake waweza kula kibuti pamoja na uzuri ukajikuta unakaa miezi sita hujapata umtafutaye...

reserve list for comfortability purposes
 
usinletee shida zako hapa
kama uko presentable na una ham ya uroda waweza kupewa na sii niwe mpenzi wako wa kudumu
mkataba ukiisha nakupa miezi sita uwe una kazi ingine

Duh! kazi nyingie. ("Presentable"?) Kaazi kweli kweli.
Lakini nashukuru kwa ofa pia!
 
Teh teh teh mie mwanaume huwa hatumiagi moyo kwenye mambo yake...hutumia kichwa... Nikikutokea ukanizingua huwa linaingilia sikio hili linatokea la huku...haliingii moyoni...HIYO NDIO ADVANTAGE MUNGU ALITUPA......
 
Nimeuliza vizuri tu unanijibu Kunya..

yawezekana sijaona ama nimesahau.
Kuna ubaya gani kunijibu bila kuniuliza maswali ya kwanini nzi anapenda choo...
Kwahiyo kosa langu ni kukuwekea hizo link? Please apologies before i get hungry.
 
lazima niwe na reserve list huwezi jua manake waweza kula kibuti pamoja na uzuri ukajikuta unakaa miezi sita hujapata umtafutaye...

reserve list for comfortability purposes

AAh! kwenye reserve list nami niweke basi! Super sub!
 
usinletee shida zako hapa
kama uko presentable na una ham ya uroda waweza kupewa na sii niwe mpenzi wako wa kudumu
mkataba ukiisha nakupa miezi sita uwe una kazi ingine
Ndo huo uroda nautaka sasa ..............:majani7:
 
Matola umejuaje ana bwana Mmasai??
tuna historia ndefu na MATOLA

mwanzoni nilimnyookea/nilimtokea waziwazi AKALETA ZA KISHAMBA kwamba anataka atongeze yeye na sii mimi

niliumia ila with time akaja kunitaka NIKAMTOSA, what goes around comes around
 
Na ndiyo maana wanawake wengi wasomi hawaolewi kwa sababu ya dharau, au hata kama wamesoma wote chuo wakamaliza, kisha wakaja kuoana ndoa zinakuwa hazidumu kwa sababu ya dharau,na wanaume hawapendi dharau.
wewe angalia kama anaweza kumdu maisha na mnaweza kukop pamoja, na mnaweza kutunza familia no matter what! hata kama ana degree wewe una master mheshimu, utaweza kujenga nyumba yenye heshima ,na utakuwa mfano kwa wote.

Marytina kuna wadada wako na tabia kama yako, mpk leo hii wako single kwa sababu ya kuchagua wanataka waolewe na wenye pesa, au wabunge, sasa hivyo vyote haviji hivi hivi bila kutafuta naye. Labda mtaolewa na wajane waliofiwa na wake zao.

Hapo umelonga haswaa....... anasubiri treni la Umeme Bongo.... Mpeni pole
 
hamna mwanaume anayekataa offer ya uroda duniani

Ah! mambo mengine bwana!
Kukataa unashindwa ndo maana mambo ya uroda ni magumu sana kwa sababu hiyo hiyo!
Kama mamba unakula na machozi yanakutoka
 
lazima niwe na reserve list huwezi jua manake waweza kula kibuti pamoja na uzuri ukajikuta unakaa miezi sita hujapata umtafutaye...

reserve list for comfortability purposes

Honey this is your life..
Ukitaka kuwapanga mia na nusu wapange tu..

ukitaka wenye ma BMW, Jaguar, Aston Martin, mchukue.
Ukitaka aaepokea zaidi ya $ 10, 000 kwa mwezi we mchukue..

nitachotaka kusema you only live once.
Kwa hiyo ishi jinsi utakavyo mamito.....
 
Njoo basi unipe uroda nipige gemu nisepe zangu ...............!
mie Nina PHD ya mambo halafu fedha Kama Kwenye avatar yangu ............:becky:
nakupa uroda kama nimekutaka na sii kwamba kwa kuwa unahela
hata wa milioni mbili akiwa presentable napenda wewe na mamilioni yko huninunui
 
nafanya kazi kutafuta hela na sio kudumisha mapenzi.. source martina

kama wewe hela zako unafugia mwanaume endeleea manake hizohizo hela zako anahongea vicheche
 
tuna historia ndefu na MATOLA

mwanzoni nilimnyookea/nilimtokea waziwazi AKALETA ZA KISHAMBA kwamba anataka atongeze yeye na sii mimi

niliumia ila with time akaja kunitaka NIKAMTOSA, what goes around comes around
hahahahahahahahahaha
Kumbe hata ye alikuwa kwenye list ukamtosa.
I wonder why kanuna lolz.........
 
Duh! kazi nyingie. ("Presentable"?) Kaazi kweli kweli.
Lakini nashukuru kwa ofa pia!
wewe unachekesha
milioni mbili hufiki, hauko presentable sasa mie ntasikia raha gani kulala na gumegume?
kama hela huna basi uwe very presentable ntakuwa nakupa mara mojamoja ila si unigande.
 
asante ndugu
hapa jf mapenzi memba wanataka uongee uongo wa kusifia mambo ya kale...
kama huna pesa basi uwe na elimu ya kukata

Asante,
Umenipa changamoto ngoja nikaze buti ndani ya siku chache moja litimie
tabaki mengine maana nawe du!
 
Teh teh teh mie mwanaume huwa hatumiagi moyo kwenye mambo yake...hutumia kichwa... Nikikutokea ukanizingua huwa linaingilia sikio hili linatokea la huku...haliingii moyoni...HIYO NDIO ADVANTAGE MUNGU ALITUPA......
mimi hata JF memba ambaye hatujuani akinikatalia mapenzi huwa NAUMIA SANA
 
AAh! kwenye reserve list nami niweke basi! Super sub!
HUFAI KWENYE RESERVE LIST MANAKE HUNA MILIONI MBILI KWA MWEZI

wewe kama uko presentable nitakuvulia na nitakufanya mpaka utosheke ila na wewe lazima unipe raha ya kweli
Amin nakwambia reserve list wanakaa wenye hela hiyo, wewe ntakupaga bure ila you must be very presentable na usinigande cz mimi sio mpenzi wako
 
Back
Top Bottom