Wajuzi msaada dawa ya asili kutibu Homa ya Matumbo (Typhoid)

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
9,751
Reaction score
15,545
Jamani msaada mti gani unaweza kupambana na hawa wadudu, wanao sababisha homa ya tumbo ??

Kama kuna muhanga aliyetumia mti fulani ukamsaidia Tunaomba taarifa.
 
nimeona huu uzi na mimi. and I'm a Medical personally, dawa za hospital zimekuwa not effectively kutibu hilo tatizo la homa ya Tumbo linalo pelekea mchafuko wa damu
Si kweli kwamba dawa za hospital hazitibu,bali huenda unarejea tabia zile zile baada ya Kutumia dawa.

Nimehangaika na typhoid kwa mwaka mzima,Kila nikipima ugonjwa umo,nikatafakari sana,Kila njia niliyohisi kuwa inaweza kuwa chanzo cha Mimi kuugua typhoid niliiepuka.lakini sikufanikiwa.

Nilikuja kugundua kuwa kachumbari ilikuwa chanzo kikuu cha Mimi kuugua,maana ninapenda sana kachumbari,hivyo nikawa napasha kwa maji moto Kila kiungo cha kachumbari nilichokuwa nakitumia,Toka muda huo hadi sasa sijaugua typhoid.

Chunguza ni mambo Gani huenda yakawa chanzo cha wewe kuugua typhoid
 
Kuna kamti fulani nilikatoa huko Tanga, kanatibu magonjwa zaidi ya 3, ikiwemo ngiri, ni dawa nzuri sana ya tumbo (Sina uhakika kuhusu typhoid).

Bahati mbaya jina la dawa silikumbuki.
 
nimeona huu uzi na mimi. and I'm a Medical personally, dawa za hospital zimekuwa not effectively kutibu hilo tatizo la homa ya Tumbo linalo pelekea mchafuko wa damu
Usahihi wa Diagnosis ya Typhoid , unategemea Mtaalam wa Maabara, Family and Social Hx , Prevalence ya ugonjwa kwenye Eneo Husika .

Watu wengi wamekua wanaambiwa Wana Typhoid Kila wakipima, kumbe hamna Cha Typhoid wala nn.

Madawa kwenye makundi ya Macrolides, Fluoroquinolones , Cephalosporins , these drugs ni Best , muhimu kuzingatia Duration of Treatment.
Haiwezekani MTU ana Typhoid alafu umpe dawa za siku 7 ... Anaanzaje Kupona???.
 
Si kweli kwamba dawa za hospital hazitibu,bali huenda unarejea tabia zile zile baada ya Kutumia dawa.

Nimehangaika na typhoid kwa mwaka mzima,Kila nikipima ugonjwa umo,nikatafakari sana,Kila njia niliyohisi kuwa inaweza kuwa chanzo cha Mimi kuugua typhoid niliiepuka.lakini sikufanikiwa.

Nilikuja kugundua kuwa kachumbari ilikuwa chanzo kikuu cha Mimi kuugua,maana ninapenda sana kachumbari,hivyo nikawa napasha kwa maji moto Kila kiungo cha kachumbari nilichokuwa nakutumia,Toka muda huo hadi sasa sinaugua typhoid.

Chunguza ni mambo Gani huenda yakawa chanzo cha wewe kuugua typhoid
Kuchunguza chanzo ni Muhimu, but nipo hapa kutafuta Tiba yake.

Ni kweli ukitibu tatizo pia lazima utibu na chanzo cha kupata tatizo
 
Usahihi wa Diagnosis ya Typhoid , unategemea Mtaalam wa Maabara, Family and Social Hx , Prevalence ya ugonjwa kwenye Eneo Husika .

Watu wengi wamekua wanaambiwa Wana Typhoid Kila wakipima, kumbe hamna Cha Typhoid wala nn.

Madawa kwenye makundi ya Macrolides, Fluoroquinolones , Cephalosporins , these drugs ni Best , muhimu kuzingatia Duration of Treatment.
Haiwezekani MTU ana Typhoid alafu umpe dawa za siku 7 ... Anaanzaje Kupona???.
sure, tiba inaenda hadi week 2
 
Si kweli kwamba dawa za hospital hazitibu,bali huenda unarejea tabia zile zile baada ya Kutumia dawa.

Nimehangaika na typhoid kwa mwaka mzima,Kila nikipima ugonjwa umo,nikatafakari sana,Kila njia niliyohisi kuwa inaweza kuwa chanzo cha Mimi kuugua typhoid niliiepuka.lakini sikufanikiwa.

Nilikuja kugundua kuwa kachumbari ilikuwa chanzo kikuu cha Mimi kuugua,maana ninapenda sana kachumbari,hivyo nikawa napasha kwa maji moto Kila kiungo cha kachumbari nilichokuwa nakutumia,Toka muda huo hadi sasa sinaugua typhoid.

Chunguza ni mambo Gani huenda yakawa chanzo cha wewe kuugua typhoid
Au kwenda toilet na kutumia mikono na maji kujisafisha, wakati huo huo husafishi mikono yako ipasavyo na mwisho wa siku unatumia mikono kuingiza chakula mdomoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom