Wajumbe wa kamati ya LAAC wafika Chato kwenye kaburi la Hayati Magufuli

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,398
3,907
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC)wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mheshimiwa Stanslaus Mabula wamefika Chato nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe na kufanya maombi mafupi katika kaburi lake.

FB_IMG_1710773447585.jpg
FB_IMG_1710773445145.jpg
FB_IMG_1710773432842.jpg
FB_IMG_1710773427075.jpg
FB_IMG_1710773424888.jpg
FB_IMG_1710773422535.jpg
FB_IMG_1710773416892.jpg
 
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC)wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mheshimiwa Stanslaus Mabula wamefika Chato nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe na kufanya maombi mafupi katika kaburi lake.

View attachment 2938343View attachment 2938344View attachment 2938345View attachment 2938346View attachment 2938347View attachment 2938348View attachment 2938349
Seriously kama sio ushirikina ni nini?
Sasa mzoga unaweza kutatua shida za, wananchi? Unatembelea mzoga, mzimu ili utatue shida za, wananchi?
Sasa nyie ccm, niambieni mzoga wa, maghu, unaweza vipi kutupa sayansi ya kilimo, artificial intelligence, ajira za kutosha, kufanya makampuni kama google, meta, Microsoft yafungue ofisi bongo, kuondoa ufisadi na rushwa,
So pathetic,
Huo mzimu umewafunulia nini sasa!? Si Bora kwenda kwa mwamposa ulale uwanjani nje, umekumbatia chupa ya maji ya afya! Iliyoombewa ikutatulie shida zako zote, kuanzia mwenza wa maisha, na fedha!
 
Jinsi muda wa uchaguzi mkuu 2025 unavyokaribia harakati na safari za kutembelea kaburi unaongezeka, Kuna nini kule kaburini?
No wonder!! Hawa wabunge wote wa 2020 walikuwa hand picked na Dikteta mwenyewe. Kwenda kumshukuru siyo jambo la ajabu.

Ila waambie tu 2025 90% ya hao hawatakuwapo
 
Seriously kama sio ushirikina ni nini?
Sasa mzoga unaweza kutatua shida za, wananchi? Unatembelea mzoga, mzimu ili utatue shida za, wananchi?
Sasa nyie ccm, niambieni mzoga wa, maghu, unaweza vipi kutupa sayansi ya kilimo, artificial intelligence, ajira za kutosha, kufanya makampuni kama google, meta, Microsoft yafungue ofisi bongo, kuondoa ufisadi na rushwa,
So pathetic,
Huo mzimu umewafunulia nini sasa!? Si Bora kwenda kwa mwamposa ulale uwanjani nje, umekumbatia chupa ya maji ya afya! Iliyoombewa ikutatulie shida zako zote, kuanzia mwenza wa maisha, na fedha!
tulia kijana fanya yako huu mchezo hauhitaji hasira relax kabisa fanya yako mambo magumu haya hayaeleweki kwa vilaza
 
Huyo mama anasalia mpaka kupiga magoti kabisa! Itakuwa ameguswa mnoo
Magufuli mtu kama aliwahi fanya jema lolote kwako kaa mbali na kujifanya unamkana au kumdharau akiwa hai au kafa safari ya mtu ya kisiasa mbeleni yaweza kuwa giza tupu

Usione kuna watu bado wanamuenzi wanaogopa giza la kisiasa mbele ya safari
 
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC)wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mheshimiwa Stanslaus Mabula wamefika Chato nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe na kufanya maombi mafupi katika kaburi lake.

View attachment 2938343View attachment 2938344View attachment 2938345View attachment 2938346View attachment 2938347View attachment 2938348View attachment 2938349
Wanafiki wakubwa hao.wakiwa bungeni wannanga.nchi ngumu sana hii
 
Vimba na upasuke
Seriously kama sio ushirikina ni nini?
Sasa mzoga unaweza kutatua shida za, wananchi? Unatembelea mzoga, mzimu ili utatue shida za, wananchi?
Sasa nyie ccm, niambieni mzoga wa, maghu, unaweza vipi kutupa sayansi ya kilimo, artificial intelligence, ajira za kutosha, kufanya makampuni kama google, meta, Microsoft yafungue ofisi bongo, kuondoa ufisadi na rushwa,
So pathetic,
Huo mzimu umewafunulia nini sasa!? Si Bora kwenda kwa mwamposa ulale uwanjani nje, umekumbatia chupa ya maji ya afya! Iliyoombewa ikutatulie shida zako zote, kuanzia mwenza wa maisha, na fedha!
 
Seriously kama sio ushirikina ni nini?
Sasa mzoga unaweza kutatua shida za, wananchi? Unatembelea mzoga, mzimu ili utatue shida za, wananchi?
Sasa nyie ccm, niambieni mzoga wa, maghu, unaweza vipi kutupa sayansi ya kilimo, artificial intelligence, ajira za kutosha, kufanya makampuni kama google, meta, Microsoft yafungue ofisi bongo, kuondoa ufisadi na rushwa,
So pathetic,
Huo mzimu umewafunulia nini sasa!? Si Bora kwenda kwa mwamposa ulale uwanjani nje, umekumbatia chupa ya maji ya afya! Iliyoombewa ikutatulie shida zako zote, kuanzia mwenza wa maisha, na fedha!
Babako mwenyewe ni mzoga
 
Back
Top Bottom