Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 21,406
- 52,053
- Thread starter
- #21
Malaika Toyoyo
๐๐๐
Hivi Toyoyo Maana yake nini?
Jina hilo nililisikia miaka ya 2006 Huko.
Kuna dogo alikuwa anataniwa hivyo, nami nilikuwa namtania lakini sikuwa najua maana yake.