Je malaika wetu walinzi wanaendaga wapi kipindi tukiwa tunarogwa na wachawi?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Tunaambiwa kuwa kila binadamu ana malaika wake ambaye anamlinda lakini ninachoshangaa ni kuwa watu wanarogwa watu wanasumbuliwa na Majini na aina nyingine ya matatizo kwani kipindi Majini na wanadamu wanapokuwa wanamtendea mwanadamu mwingine mabaya kwenye roho wale Malaika wetu walinzi wanaendaga wapi?
 
Tunaambiwa kuwa kila binadamu ana malaika wake ambaye anamlinda lakini ninacho shangaa ni kuwa watu wana rogwa watu wanasumbuliwa na Majini na aina nyingine ya matatizo kwani kipindi Majini na wanadamu wanapokuwa wana mtendea mwanadamu mwingine mabaya kwenye roho wale Malaika wetu wa linzi wanaendaga wapi ?

Huwa wamepozi kukuzuum kipimo chako cha imani maana majaribu ndiyo mtaji wa imani thabiti mf, Ayubu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Tunaambiwa kuwa kila binadamu ana malaika wake ambaye anamlinda lakini ninacho shangaa ni kuwa watu wana rogwa watu wanasumbuliwa na Majini na aina nyingine ya matatizo kwani kipindi Majini na wanadamu wanapokuwa wana mtendea mwanadamu mwingine mabaya kwenye roho wale Malaika wetu wa linzi wanaendaga wapi ?
Duuuh!
 
kwa nadharia yangu ni kwamba kama kuna maagano au mikataba na nguvu za giza basi hao malaika hawana cha kufanya na ndio maana hata Mungu alituumba ila alitupa uhuru wa machaguo.
 
Tunaambiwa kuwa kila binadamu ana malaika wake ambaye anamlinda lakini ninacho shangaa ni kuwa watu wana rogwa watu wanasumbuliwa na Majini na aina nyingine ya matatizo kwani kipindi Majini na wanadamu wanapokuwa wana mtendea mwanadamu mwingine mabaya kwenye roho wale Malaika wetu wa linzi wanaendaga wapi ?
Wanakuepo wanaangalia,

Ukilala bila kuomba ulinzi wa Mungu, ukiishi maisha ya dhambi unatoa KIBALI Kwa shetani akutende atakavyo.

Kumbuka kuamka salama ni Muujiza mkubwa sana unafanyiwa na Mungu kupitia Malaika hao hao,

Rudisha mahusiano Yako na Mungu Ili ulinzi uwe active.

Ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom