Amepiga nn? Sukuma gang wahed!!Mageuzi gani makubwa? Huyu ni mpigaji tu
Amepiga nn? Sukuma gang wahed!!Mageuzi gani makubwa? Huyu ni mpigaji tu
tumepishana uelewaKwaiyo miaka mitano yote hizo machine ziliweza kufanya kazi nazi zikimuogopa Rais Magufuli kuwa atazitumbua?
Tulia jina la mtu.Tulia wewee
Huyu jamaa aliulizwa mradi umefika % ngapi akaanza kuleta brah brah eti hawezi kusema % kwa sababu hata aliposimama na kuongea kuna kazi inaendelea...alishindwa hata kusema kufikia tarehe fulani mradi umefikia % fulani 🐒President Material analidanganya Bunge eti hakuna crane yakubeba tani 26 Tanzania nzima?
Chini ya magufuli hata rushwa, ubadhirifu na uzembe vilisha.Ni Waziri wakwanza aliyetumia akili nchi hii mifuko iliisha bila sisimizi kuumizwa
The man is incredible na nazan uwezo wake unawapa tabu sana
Unakazwa kweli ww! Hayo matengenezo gani yasio na taarifa rasmi?yule mtu alizuia routine maintanance kitu ambacho kingefuata ni total fallout kwa kampuni maana ungezima kwa mara moja kwa eneo kubwa pengine nusu ya nchi matengenezo kwa shilrika kama la tanesco ni ya kila wakati
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - KikweteEmu acheni kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa huyo mwizi,
Unafikili kuna mtanzania asiyejua January ni incompetent kila eneo?
Hii imenisikitiisha sana kidogo ni lie yaan kila kitu kinatoka njeKweli kabisa na ndiyo maana ata crane ya kubeba tani 26 kakosa lakini chakushangaza kuna crane ilibeba tani 60 ya beams za sgr hapa Dar es Salaam.View attachment 2008329
Smart upstairs halafu akaiba mitihani ya secondary hadi akafutiwa matokeo?!Makamba hamtamuweza... he is so smart upstairs....
CCM iko mikononi mwa maza..tulieni hamna namna nyie timu sukuma gang.. ni wakati wenu wa kusurubiwa...kutesa huwa ni kwa zamu.
Mwendazake kashaondoka bila kuaga...so tulieni kuhangaika na Makamba ni kujichosha tu..
Presidential material unahaingaika nayo..rubbish
Ukiitazama hii picha na alichosema Makamba ni vitu viwili tofauti,hivyo anaukwamisha mradi wa bwawa la Mwl Nyerere kwa maslahi yake na team yakeMageuzi makubwa yanayofanywa ndani ya TANESCO na Wizara ya Nishati yametengeneza makundi ya Chuki watu walizoea kujipa tender za ku supply nguzo, transforma, mita, vifaa, engine za kufua umem na mashine wamekuja juu kutaka Waziri Makamba aondoshwe wakihofia kupotezea tenda zao.
Ifahamike kuwa miaka mitano ilopita kipo kikundi kilihodhi tenda zote za mabilioni sasa wakati huu ambao mtu wao aliyekuwa Waziri hayupo kelele zimekuwa nyingi mitandaoni. Waziri wa sasa Januari Makamba ameendelea kuhimiza uwazi kwenye tender zote na pia kuhakikisha Tanesco na wizara wanapata supplier mwenye uwezo wa kutosha.
Kwa sasa kikundi kile cha walafi kimedhamiria kukwamisha serikali ya awamu ya Sita kwa kuchafua watu muhimu akiwemo Januari Makamba ili aondolewe na mtu wao apate nafasi tena waendelee kuneemeka.
Kiwanda chao cha nguzo sasa kinapumulia mashine wanawaza mabilioni waliyowekeza yatarudi vipi na sasa wameamua kupambana na Makamba.
Januari Makamba chapa kazi
Rais Samia anajua kazi yao
Waache walikosa tenda waendelee kukunanga mitandaoni
magu amechafuliwa au alijichafua mwenyewe?Acha uongo. Mumeshaona makamba watu wanamjua ndio kijana wa madeal mnageuza kibao. Kama vile mnavyohangaika kumchafua magufuli ndio mumeanza kumchafua Dr medard.
Kwa hiyo wewe ni 'chawa' wake, au ndio wenye 'tender' wapya!Ni Waziri wakwanza aliyetumia akili nchi hii mifuko iliisha bila sisimizi kuumizwa
The man is incredible na nazan uwezo wake unawapa tabu sana