Wajue Mahasimu wa Januari Makamba

Sukuma gang wote hawmpendi Makamba maana msukuma mwenzao katumbuliwa. Utadhaninahuyo msukuma alikuwa na hati miliki ya wizara
Tatizo wizarana kajaza ndugu zake wanaona wanahati miliki yab
Acha uongo. Mumeshaona makamba watu wanamjua ndio kijana wa madeal mnageuza kibao. Kama vile mnavyohangaika kumchafua magufuli ndio mumeanza kumchafua Dr medard.
 
Makamba aliyempigania Magufuli kushinda leo anaonekana ana madeal basi ilianza madeal alipompigania Magufuli kupitia mtandao
 
Makamba hamtamuweza... he is so smart upstairs....

CCM iko mikononi mwa maza..tulieni hamna namna nyie timu sukuma gang.. ni wakati wenu wa kusurubiwa...kutesa huwa ni kwa zamu.

Mwendazake kashaondoka bila kuaga...so tulieni kuhangaika na Makamba ni kujichosha tu..

Presidential material unahaingaika nayo..rubbish
Smart upstairs my ass! Watu tunaharibikiwa na vitu kwenye friji kwa uzembe na utendaji wa hovyo! Wizi wizi tu!
 
Tunataka taasisi za serikali nifanye kazi kwa weredi sio kwa siasa
Taasisinkama tanesco inazalisha deni la billion 320 kila mwaka hilo haliwezekani
Mawaziri wavivu wanaomba pesa kila kukicha hazina kwa matumizi ya hovyo
Makamba amesema tanesco lazima iepukane na utegemezi na hizi ni hatua
 
Mnyonge mnyongeni akiyake mpeni
Makamba anafanya kazi yake kitaalamu lazima nakubali mabadiliko
Wizara ya NISHATI haiitaji unabaishaji makamba atatuweka mahali salama
Unahangaika sana kumtetea, Au ni wewe umekuja na id fake? Au chawa wake? Sasa mwambie huyo boss wako hana uwezo na utendaji wake ni wa kawaida sàna! sio tu wa kuongoza hiyo wizara nyeti bali hata kuwa waziri tu! Alipaswa awe walau mkuu wa shule au katibu tarafa ila tu jina la baba yake ndilo linambeba.
 
Mageuzi makubwa yanayofanywa ndani ya TANESCO na Wizara ya Nishati yametengeneza makundi ya Chuki watu walizoea kujipa tender za ku supply nguzo, transforma, mita, vifaa, engine za kufua umem na mashine wamekuja juu kutaka Waziri Makamba aondoshwe wakihofia kupotezea tenda zao.

Ifahamike kuwa miaka mitano ilopita kipo kikundi kilihodhi tenda zote za mabilioni sasa wakati huu ambao mtu wao aliyekuwa Waziri hayupo kelele zimekuwa nyingi mitandaoni. Waziri wa sasa Januari Makamba ameendelea kuhimiza uwazi kwenye tender zote na pia kuhakikisha Tanesco na wizara wanapata supplier mwenye uwezo wa kutosha.

Kwa sasa kikundi kile cha walafi kimedhamiria kukwamisha serikali ya awamu ya Sita kwa kuchafua watu muhimu akiwemo Januari Makamba ili aondolewe na mtu wao apate nafasi tena waendelee kuneemeka.

Kiwanda chao cha nguzo sasa kinapumulia mashine wanawaza mabilioni waliyowekeza yatarudi vipi na sasa wameamua kupambana na Makamba.

Januari Makamba chapa kazi
Rais Samia anajua kazi yao
Waache walikosa tenda waendelee kukunanga mitandaoni
Umeamua ujilipue kwa taarifa huyo jamaa yake anataka kutuingiza chaka na miradi yake ya siri na kuhujumu mradi uliwekewa majidola palee!
 
Tunataka taasisi za serikali nifanye kazi kwa weredi sio kwa siasa
Taasisinkama tanesco inazalisha deni la billion 320 kila mwaka hilo haliwezekani
Mawaziri wavivu wanaomba pesa kila kukicha hazina kwa matumizi ya hovyo
Makamba amesema tanesco lazima iepukane na utegemezi na hizi ni hatua
Hatutaki hizo porojo! Tunataka majibu! Kwanini umeme unasumbua??
 
Adui wa Makamba ni Makamba mwenyewe. Hizo habari za tenda umejitungia, maana hatujasikia kama kasimamisha tenda yoyote. Zaidi sana tumesikia kaingia tenda na wahindi wa kutuchungia umeme wetu. Hiyo program ni ya kawaida sana, vijana wamekomaa kwenda kusoma Masters Finland za mfumo huo, yeye ajira anawagawia akina Kanjibai bila hata kutangaza tenda.
 
Mageuzi makubwa yanayofanywa ndani ya TANESCO na Wizara ya Nishati yametengeneza makundi ya Chuki watu walizoea kujipa tender za ku supply nguzo, transforma, mita, vifaa, engine za kufua umem na mashine wamekuja juu kutaka Waziri Makamba aondoshwe wakihofia kupotezea tenda zao.

Ifahamike kuwa miaka mitano ilopita kipo kikundi kilihodhi tenda zote za mabilioni sasa wakati huu ambao mtu wao aliyekuwa Waziri hayupo kelele zimekuwa nyingi mitandaoni. Waziri wa sasa Januari Makamba ameendelea kuhimiza uwazi kwenye tender zote na pia kuhakikisha Tanesco na wizara wanapata supplier mwenye uwezo wa kutosha.

Kwa sasa kikundi kile cha walafi kimedhamiria kukwamisha serikali ya awamu ya Sita kwa kuchafua watu muhimu akiwemo Januari Makamba ili aondolewe na mtu wao apate nafasi tena waendelee kuneemeka.

Kiwanda chao cha nguzo sasa kinapumulia mashine wanawaza mabilioni waliyowekeza yatarudi vipi na sasa wameamua kupambana na Makamba.

Januari Makamba chapa kazi
Rais Samia anajua kazi yao
Waache walikosa tenda waendelee kukunanga mitandaoni
yule mtu alizuia routine maintanance kitu ambacho kingefuata ni total fallout kwa kampuni maana ungezima kwa mara moja kwa eneo kubwa pengine nusu ya nchi matengenezo kwa shilrika kama la tanesco ni ya kila wakati
 
Kweli kabisa na ndiyo maana ata crane ya kubeba tani 26 kakosa lakini chakushangaza kuna crane ilibeba tani 60 ya beams za sgr hapa Dar es Salaam.
Screenshot_2021-11-12-11-24-42-38.png
 
yule mtu alizuia routine maintanance kitu ambacho kingefuata ni total fallout kwa kampuni maana ungezima kwa mara moja kwa eneo kubwa pengine nusu ya nchi matengenezo kwa shilrika kama la tanesco ni ya kila wakati
Kwaiyo miaka mitano yote hizo machine ziliweza kufanya kazi nazi zikimuogopa Rais Magufuli kuwa atazitumbua?
 
Makamba hamtamuweza... he is so smart upstairs....

CCM iko mikononi mwa maza..tulieni hamna namna nyie timu sukuma gang.. ni wakati wenu wa kusurubiwa...kutesa huwa ni kwa zamu.

Mwendazake kashaondoka bila kuaga...so tulieni kuhangaika na Makamba ni kujichosha tu..

Presidential material unahaingaika nayo..rubbish
President Material analidanganya Bunge eti hakuna crane yakubeba tani 26 Tanzania nzima?
 
Back
Top Bottom