Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,947
- 34,996
January naona unajipa promo,toka kidogo nje ya TZ ujifute tongo tongo uone jinsi mifuko ya plastik inavyotumika,halafu acha kabisa kuwalinganisha kalemani na makamba kiutendaji tofauti yao ni kubwa mno,pa1 na mapungufu yake kalemani hiyo wizara aliiweza kwa kuweka uzalendo mbeleNi Waziri wakwanza aliyetumia akili nchi hii mifuko iliisha bila sisimizi kuumizwa
The man is incredible na nazan uwezo wake unawapa tabu sana