King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,672
- 68,638
Umeme umekuwa ukikatika sana.
Asolve hilo kwanza.
Umeme tunakosa wote hata ambao hatuna issue nae.
Tafadhali mshauri atatue hili tatizo la umeme kukatika mara kwa mara.
Au tuambiwe sababu ili tujue kuna tatizo gani.
Swala la umeme kukatika aliepukiki hata wewe ukipewa ukurugenzi mkuu wa TANESCO! Swala la msingi tungesisitiza wajitahidi kuwapatia huduma ya umeme watu walioomba kuunganishiwa kwa haraka zaidi,wasikae muda mrefu kuunganishwa,changamoto kubwa ya Tanesco ni hiyo.
Umeme kukatika mara nyingi unasababishwa na itilafu au planned maintanance kwasasa mgao hakuna! Mgao means umeme unakatika kwa muda mrefu halafu ni kila siku ,sasa wakibadilisha nguzo kuweka za zege unataka wabadilishe bila kukata umeme? Kunguru akasababisha shoti transforma likabutuka hapo unataka umeme usikatike? Nguzo imeoza ikadondoka unataka umeme wasikate nyaya zikiwa chini ziwe na umeme?