Wajua Wakristo na Waislamu Watoto wa Baba Mmoja Ibarahim?Mungu Wao ni Mmoja?na Sheria yao n Moja ya Mussa?Amri Kuu ni Upendo!Uchaguzi Huu Tupendane!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
57,103
Reaction score
128,718
Wanabodi

Leo tena naendelea na zile mada zangu za holistic approach kumtumia Mungu kwenye kufundisha mambo ya uchaguzi wetu wa mwaka huu ili twende kwenye uchaguzi mkuu ambao sio tuu ni uchaguzi huru na wa haki,bali pia uchaguzi wenye upendo,utulivu na amani!。

Mada ya leo ni kufundisha kuhusu upendo wa dhati,upendo wa kweli wa moyoni,upendo wa Agape。Upendo wa kumpenda Mungu,kujipenda wewe mwenyewe,na kumpenda jirani yako kama nafsi yako!。

Je wajua kuwa Wakristo na Waislamu ni watoto wa baba mmoja,Nabii Ibarahim?。
Je wajua Mungu wao ni Mungu mmoja ila anaitwa tuu kwa majina tofauti tofauti?。
Je wajua sheria ya hizi dini zote mbili ni sheria moja ile ile sheria Mussa?, ambayo Kikristu iko kwenye kitabu cha Kumbukumbu la Torati,kwenye Biblia Takatifu na Kiislamu ni Taurat kwenye Quran Tukufu?na Amri Kuu kwa hizi dini zote mbili ni ni amri moja ya upendo?, mpende Mungu,jipende mwenyewe,mpende na jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe!。

Swali ni huyo jirani yako ni nani?natoa wito kwa uchaguzi wa mwaka huu, tupendane jameni!,ukimpenda mwenzako,hutambamnikizia kesi,ukimpenda mwenzako hutamsokomeza mahabusu,ukimpenda mwenzako,utamtendea haki,ukimpenda mwenzako,hutamuibia kura zake,ukimpenda mwenzako,utashindana nae kwa haki。

Angalizo la Mada Ndefu
Mtanisamehe,mimi ni story teller,orator,hivyo kuna baadhi ya mada zangu ni oratorial, zinakuwa ndefu kwasababu naandika kwa inspiration,vitu vinashuka tuu,na mimi ninashuka navyo,hivyo ili kuwasaidia wasiopenda makitu marefu wanaweza kuishia hapa na ku jump kwenye hitimisho。
Kwa mafundisho ya dini ya Kikristu, tuliyopewa na Masiya Bwana wetu Yesu Kristo aliulizwa amri kuu kuliko zote ni amri gani?,
Yesu Akajibu ”Mpende Bwana, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, kwa nguvu zako zote na kwa akili zako zote”。 Hii ndio amri kubwa ya kwanza,na amri ya pili inafanana na hii, ni
”mpende na jirani yako kama nafsi yako", na mimi naomba kuiongeza kidogo, upendo huo uwe ni upendo wa kweli na upendo wa dhati, mpende Mungu, ipende nchi yako, wapende viongozi wako, mpende jirani yako kama nafsi yako!.

Bwana Yesu akaulizwa tena ”Jirani yako ni Nani?”, ilifuata story, na mifano,hivyo mimi nami nakuuliza wewe je unampenda jirani yako?.

Tena hata kwenye dini ya Kiislamu, wanamtambua Masiya, Bwana wetu Yesu Kristo, kama Nabii Issa Bin Maryam, ukisoma sifa za huyo Nabii Issa bin Maryam, utakubalia na mimi mtu huyo ni Bwana Yesu Kristo, ila kwa vile kila dini iko huru kuamini imani yake, kuna dini zinamkubali Yesu ndiye Nabii Issa, hivyo kuzaliwa kwake kunasherehekewa dunia nzima, ni sikukuu ya wote.

Hata simulizi za mwanzo wa ulimwengu kwa dini kuu mbili za Wakristo na Waislamu, sote tunakubaliana dunia iliumbwa na Mungu, mwanzo Mungu aliwaumba Adam na Eva, (Kikristu) au Adam na Hawa, (Kiislamu) hivyo sisi binadamu wote ni watoto wa baba mmoja,Adam, hata neno Mwanadamu, au Binadamu, maana yake ni Mwana wa Adamu au Bin Adam. Hata sisi Tanzania, nembo yetu ya Taifa ni ngao ya bibi na bwana, yenye mwanamke na mwanaume, Bibi na Bwana, wale ni wazazi wetu wa kwanza,Adam na Eva au Adam na Hawa.

Kwa dini zote mbili kuu duniani, Wakristo na Waislamu, tunaamini kisa cha Nabii Abraham (Kikristo) Ibrahimu, (Kiislamu) na mkewe Sara (Kikristu), Sarai (Kiislamu), waliishi muda mrefu kwenye ndoa yao bila kubahatika kupata mtoto. Baada ya uzee kuwanyemelea na mkewe Sara siku zake kukoma, hivyo kutokuwa na uwezo tena wa kupata mtoto, ndipo Sarah akamtoa mjakazi wake wa Kimisri, Hagai (Kikiristu), Hagir (Kiislamu), kushiriki tendo na mumuwe Ibrahim, ili kumzalia mtoto,kuweza kupata mrithi.

Huu ni upendo mkubwa wa Sarah kwa mumewe,wanawake wangapi wa sasa wana upendo wa kihivyo?。Somo hapa ni familia ambazo hazikujaaliwa kupata watoto kutokana na tatizo la uzazi kwa mwanamke, wanawake msiwe wachoyo wa waume zenu kupata watoto!, ukijikuta wewe ni mwanamke, na unamatatizo ya uzazi, huwezi kushika ujauzito na kuzaa mtoto, waruhusuni waume zenu kupata watoto kwa wanawake wengine!. Huu ndio upendo wa dhati!. Hii ni endapo tatizo la uzazi ni kwa mwanamke, linapokuwa tatizo ni kwa mwanaume, hili mtanisamehe bado sijajua utaratibu wake, kwasababu hata kwenye vitabu vya dini, haijasemwa,wanawake wenye akili wanaojitambua,akikuta tatizo ni kwa mwanaume,unajifanya hujajua kama mzee ni tatizo,unajiongeza tuu kimya kimya,na kumpa taarifa mume kuwa umeshika ujauzito,utamuona anavyo furahi!,techinic hii imeokoa ndoa nyingi sana,na kuwaheshimisha mababa wengi ambao bunduki zao zina low sperms count,haziwezi kurutubisha yai!。

Huyo mjakazi akashika ujauzito, akamzaa mwana wa kwanza wa Ibrahimu akaitwa Ishamel (Kikirstu) Ismail (Kiislamu), aliyemzaa na huyo mjakazi wake wa Kimisri Hagai (Kikiristu), Hagir (Kiislamu). Familia nzima ilifurahi kupata mtoto, Baba, mama na mjakazi.

Baadaye kwa muujiza wa Mungu, mke wa Ibrahimu Sara, akiwa mzee wa umri wa miaka 80, alishika ujauzito, na kumzaa mtoto aliyeitwa Isaka (Kikristu), Isihaka (Kiislamu). Isumaili ndio Baba wa Waislamu wote, na Isaka ndio baba wa Wakisto wote. Hivyo Wakristu na Waislamu ni watoto wa Baba Mmoja Nabii Ibrahim.

Ni katika ukoo huu ndio alikuja kuzaliwa Nabii Musa, na aliyewakomboa Wairaeli kutoka utumwani Misri, na ndie aliyepewa Amri Kuu za Mungu, ni zile zile amri alizopewa Musa, kupitia Torati, na hata Yesu alipokuja, bado amri za Mungu ni zile zile za Musa, Yesu hakuja kuitengua Torati bali alikuja kuikamilisha, hivyo Wakristu na Waislamu ni watoto wa baba mmoja, tupendane kwa dhati!

Amri kuu kuliko zote ni upendo, ukimpenda mtu kwa dhati, utamkia heri, fanaka na mafanikio, natoa wito kwa sisi Watanzania, baada ya kumpenda Mungu, ni kumpenda jirani yako kama nafsi yako!, jirani yako ni nani?.

Kitaifa baada ya Mungu, nchi ndio jirani yako, tuipende nchi yetu, viongozi wetu ndio jirani zetu, tuwapende viongozi wetu!, wananchi wengine wote ni jirani zetu!, tupendane sisi kwa sisi kwa upendo wa dhati, Viongozi pendaneni na wapendeni wenzenu hata wapinzani!, ukiwa na upendo wa dhati toka moyoni mwako, haiwezekani nyinyi mkajipendelea wenyewe na kuwafanyia figisu wenzenu!

Tupendane kwa dhati na tusiwatendee wengine hiyana!. Kwenye medani za siasa za vyama, CCM kama chama tawala, jirani zake ni Chadema, ACT Wazalendo, CUF, NCCR etc, wana CCM wanawajibu wa kuwapenda vyama vingine kama wanavyojipenda wenyewe!, haiwezekani wao wawe huru kufanya chochote, lakini wanawazuia wengine na hata kuwabambikia kesi mbaya za ugaidi na uhaini!

Kwa level ya nchi, jirani zetu ni nchi majirani zetu, Watanzania tuwapende Wakenya, Waganda, Wanyarwanda, Warundi, Wakongomani, Wamalawi, Wazambia na Wasumbiji, ndio majirani zetu.

Hebu basi tuanze kueneza upendo kwa kuwaangazia majirani zako waliokuzungunguka uone ni watu wenye hali gani, wakumbuke wagonjwa mahospitalini, wafungwa magezani, yatima kwenye nyumba za mayatima au watu wengine wowote wenye uhitaji, hebu jitoe uwashike mkono kwa kidogo chochote kitu kwa kujitoa kwa upendo kuwatolea chochote ili na wao pia wajisikie unawajali!。

Kwa mfano kama kuna mtu aliweza kuonyesha upendo wa hali ya juu kwa kwenda hospitalini Nairobi kumpa pole Mtanzania mmoja aliyemiminiwa pyu pyu za kutosha!。

Sisi wenye jicho la tatu,hata ukiona tuu picha ya mtu anamsalimia mtu,unaweza kuona na kujua kama salimia hiyo ni salimia ya wajibu au salimia ya upendo wa dhati!

Upendo ule wa mtu kwa mtuwe,nikaja kuuona tena kijijini Kizimkazi!,kuna simba machachari akapowa jina la mtu fulani hivi,machachari!,hivi mtu unataka upendwe vipi ndipo uelewe unapendwa?,yaani mtoto wa kike wa kiafrika aliyelelewa akaleleka aje akuambie ”nakuoenda”!,kamwe haitotokea!,wewe angalia tuu dalili!,mijitu mingine hata lipendwe vipi,lionyeshwe dalili zote!,mtu amtume hadi mtoto wake wa kumzaa aje nyumbani kwako!,huelewi tuu?!。 Kama kuna watu walidhani mtoto wa Mama alijiendea tuu bila kumjulisha mama yake,aminini hivyo,sisi tunaojua jinsi yule mama anavyompenda yule mtoto mtundu,tunajua!
Japo upendo wa dhati hukaa moyoni,lakini ukimuangalia tuu mtu machoni,sisi wa jicho la tatu,tuliuona upendo wa dhati kupitia lile jicho pale hospitalini Nairobi!。

Jicho la upendo ule nikaja kuliona tena Brussel Ubelgiji,mtu alimtembelea mtu Ubelgiji!

Hivyo hata sasa huyu mtoto mtundu pale alipo,kupitia upendo ule ule wa Nairobi Hospital,wa Ubelgiji na wa yule Simba wa Kizimkazi,upendo huo unaweza kuwa extended,mtu akaenda Ukonga kumtembelea mtu!,JPM alitembelea magereza!

Kitu cha kwanza kabisa ni
1. Tumuogope Mungu, Amri zake kuu tushike.
2. Amri ya kwanza Upendo, Mpende Bwana Mungu wako, Mpende na jirani yako!.
3. Jirani yako ni nani?, ni mtu next to you.
4. Ngazi ya chini ni ngazi ya familia, Nyumbani ni mwenzi wako, wenzi wako, mkeo, wanao, familia yako, ndugu, jamaa, marafiki na majirani, ukiwapenda kwa dhati, hutawafanyia ubaya.
5. Ngazi ya pili ni jamii, society, jamii zipendane, dini, makabila, vyama na taasisi
6. Timu ya Simba jirani yake Yanga.
7. Kichama CCM jirani zake ni Upinzani. CCM iwapende wapinzani, iwasaidie, iwatendee haki, isiwatende ubaya. Kupiga bao la mkono ni dhambi!
8. Kimihimili seirikali jirani zake ni Bunge na Mahakama, serikali haiwezi kutunga muswada wa sheria batili, Bunge likapitisha kwa kuitunga kuwa sheria, mahakama ikalilinda Bunge na serikali kwenye ubatili huu!
9. Tume ya uchaguzi jirani zake ni wananchi, wapiga kura, lazima iwe ni tume huru na shirikishi ya uchaguzi na kutenda haki kwa vyama vyote!
10. The highest stage ni national level, nchi, Tanzania jirani zetu ni nchi majirani wakiwemo DRC na M23.

Hili la upendo, nimelihubiri kwenye makala zangu Amri Kuu Kuliko Zote ni Upendo! Mpende Mungu, Ipende Nchi, Wapende Viongozi, Mpende Jirani Yako Kama Nafsi Yako!. Jirani yako ni Nani?, Unampenda?

Hitimisho
Huu ni mwaka wa uchaguzi,tuonyeshe upendo wa kweli kwenye uchaguzi huu,ukiwa na upendo wa kweli na upendo wa dhati,hao wanaopiga kelele kutaka minimum reforms,utawapa!mimi najua kwa hakika,upendo wake ni wa dhati,minimum reforms,tutaopata,na uchaguzi wa mwaka mwaka huu utakuwa ni
Uchaguzi huru,
Uchaguzi wa haki,
Uchaguzi wa amani
Uchaguzi wa utulivu
Na Uchaguzi wa upendo!

Nawatakia Mei Day Njema

Mungu Ibariki Tanzania

Peace and love!

Paskali.
Rejea
 
Wanabodi

Leo tena naendelea na zile mada zangu za holistic approach kumtumia Mungu kwenye kufundisha mambo ya uchaguzi wetu wa mwaka huu ili twende kwenye uchaguzi mkuu ambao sio tuu ni uchaguzi huru na wa haki,bali pia uchaguzi wenye upendo,utulivu na amani。

Mada ya leo ni ninafundisha kuhusu upendo wa dhati,upendo wa kweli wa moyoni,。Upendo wa kumpenda Mungu,kujipenda wewe mwenyewe,na kumpenda jirani yako kama nafsi yako!。

Je wajua kuwa Wakristo na Waislamu ni watoto wa baba mmoja,Nabii Ibarahim?。
Je wajua Mungu wao ni Mungu mmoja ila anaitwa tuu kwa majina tofauti tofauti?。
Je wajua sheria ya hizi dini zote mbili ni sheria moja ile ile sheria Mussa?, ambayo Kikristu iko kwenye kitabu cha Kumbukumbu la Torati,kwenye Biblia na Kiislamu ni Taurat?na Amri Moja Kuu kwa hizi dini zote mbili ni upendo, mpende Mungu,jipende,mpende jirani yako kama unavuojipenda wewe!,huyo jirani yako ni nani?natoa wito kwa uchaguzi wa mwaka huu, tupendane jameni!,ukimpenda mwenzako,hutambamnikizia kesi,ukimpenda mwenzako hutamsokomeza mahabusu,ukimpenda mwenzako,utamtendea haki,ukimpenda mwenzako,hutamuibia kura zake,ukimpenda mwenzako,utashindana nae kwa haki。

Kwa mafundisho ya dini ya Kikristu, tuliyopewa na Masiya Bwana wetu Yesu Kristo aliulizwa amri kuu kuliko zote ni amri gani?,
Yesu Akajibu ”Mpende Bwana, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, kwa nguvu zako zote na kwa akili zako zote”。 Hii ndio amri kubwa ya kwanza,na amri ya pili inafanana na hii, ni
”mpende na jirani yako kama nafsi yako", na mimi naomba kuiongeza kidogo, upendo huo uwe ni upendo wa kweli na upendo wa dhati, mpende Mungu, ipende nchi yako, wapende viongozi wako, mpende jirani yako kama nafsi yako!.

Bwana Yesu akaulizwa tena ”Jirani yako ni Nani?”, ilifuata story, na mifano,hivyo mimi nami nakuuliza wewe je unampenda jirani yako?.

Tena hata kwenye dini ya Kiislamu, wanamtambua Masiya, Bwana wetu Yesu Kristo, kama Nabii Issa Bin Maryam, ukisoma sifa za huyo Nabii Issa bin Maryam, utakubalia na mimi mtu huyo ni Bwana Yesu Kristo, ila kwa vile kila dini iko huru kuamini imani yake, kuna dini zinamkubali Yesu ndiye Nabii Issa, hivyo kuzaliwa kwake kunasherehekewa dunia nzima, ni sikukuu ya wote.

Hata simulizi za mwanzo wa ulimwengu kwa dini kuu mbili za Wakristo na Waislamu, sote tunakubaliana dunia iliumbwa na Mungu, mwanzo Mungu aliwaumba Adam na Eva, (Kikristu) au Adam na Hawa, (Kiislamu) hivyo sisi binadamu wote ni watoto wa baba mmoja,Adam, hata neno Mwanadamu, au Binadamu, maana yake ni Mwana wa Adamu au Bin Adam. Hata sisi Tanzania, nembo yetu ya Taifa ni ngao ya bibi na bwana, yenye mwanamke na mwanaume, Bibi na Bwana, wale ni wazazi wetu wa kwanza,Adam na Eva au Adam na Hawa.

Kwa dini zote mbili kuu duniani, Wakristo na Waislamu, tunaamini kisa cha Nabii Abraham (Kikristo) Ibrahimu, (Kiislamu) na mkewe Sara (Kikristu), Sarai (Kiislamu), waliishi muda mrefu kwenye ndoa yao bila kubahatika kupata mtoto. Baada ya uzee kuwanyemelea na mkewe Sara siku zake kukoma, hivyo kutokuwa na uwezo tena wa kupata mtoto, ndipo Sarah akamtoa mjakazi wake wa Kimisri, Hagai (Kikiristu), Hagir (Kiislamu), kushiriki tendo na mumuwe Ibrahim, ili kumzalia mtoto,kuweza kupata mrithi.

Huu ni upendo mkubwa wa Sarah kwa mumewe,wanawake wangapi wa sasa wana upendo wa kihivyo?。Somo hapa ni familia ambazo hazikujaaliwa kupata watoto kutokana na tatizo la uzazi kwa mwanamke, wanawake msiwe wachoyo wa waume zenu kupata watoto!, ukijikuta wewe ni mwanamke, na unamatatizo ya uzazi, huwezi kushika ujauzito na kuzaa mtoto, waruhusuni waume zenu kupata watoto kwa wanawake wengine!. Huu ndio upendo wa dhati!. Hii ni endapo tatizo la uzazi ni kwa mwanamke, linapokuwa tatizo ni kwa mwanaume, hili mtanisamehe bado sijajua utaratibu wake, kwasababu hata kwenye vitabu vya dini, haijasemwa,wanawake wenye akili wanaojitambua,akikuta tatizo ni kwa mwanaume,unajifanya hujajua kama mzee ni tatizo,unajiongeza tuu kimya kimya,na kumpa taarifa mume kuwa umeshika ujauzito,utamuona anavyo furahi!,techinic hii imeokoa ndoa nyingi sana,na kuwaheshimisha mababa wengi ambao bunduki zao zina low sperms count,haziwezi kurutubisha yai!。

Huyo mjakazi akashika ujauzito, akamzaa mwana wa kwanza wa Ibrahimu akaitwa Ishamel (Kikirstu) Ismail (Kiislamu), aliyemzaa na huyo mjakazi wake wa Kimisri Hagai (Kikiristu), Hagir (Kiislamu). Familia nzima ilifurahi kupata mtoto, Baba, mama na mjakazi.

Baadaye kwa muujiza wa Mungu, mke wa Ibrahimu Sara, akiwa mzee wa umri wa miaka 80, alishika ujauzito, na kumzaa mtoto aliyeitwa Isaka (Kikristu), Isihaka (Kiislamu). Isumaili ndio Baba wa Waislamu wote, na Isaka ndio baba wa Wakisto wote. Hivyo Wakristu na Waislamu ni watoto wa Baba Mmoja Nabii Ibrahim.

Ni katika ukoo huu ndio alikuja kuzaliwa Nabii Musa, na aliyewakomboa Wairaeli kutoka utumwani Misri, na ndie aliyepewa Amri Kuu za Mungu, ni zile zile amri alizopewa Musa, kupitia Torati, na hata Yesu alipokuja, bado amri za Mungu ni zile zile za Musa, Yesu hakuja kuitengua Torati bali alikuja kuikamilisha, hivyo Wakristu na Waislamu ni watoto wa baba mmoja, tupendane kwa dhati!

Amri kuu kuliko zote ni upendo, ukimpenda mtu kwa dhati, utamkia heri, fanaka na mafanikio, natoa wito kwa sisi Watanzania, baada ya kumpenda Mungu, ni kumpenda jirani yako kama nafsi yako!, jirani yako ni nani?.

Kitaifa baada ya Mungu, nchi ndio jirani yako, tuipende nchi yetu, viongozi wetu ndio jirani zetu, tuwapende viongozi wetu!, wananchi wengine wote ni jirani zetu!, tupendane sisi kwa sisi kwa upendo wa dhati, Viongozi pendaneni na wapendeni wenzenu hata wapinzani!, ukiwa na upendo wa dhati toka moyoni mwako, haiwezekani nyinyi mkajipendelea wenyewe na kuwafanyia figisu wenzenu!

Tupendane kwa dhati na tusiwatendee wengine hiyana!. Kwenye medani za siasa za vyama, CCM kama chama tawala, jirani zake ni Chadema, ACT Wazalendo, CUF, NCCR etc, wana CCM wanawajibu wa kuwapenda vyama vingine kama wanavyojipenda wenyewe!, haiwezekani wao wawe huru kufanya chochote, lakini wanawazuia wengine na hata kuwabambikia kesi mbaya za ugaidi na uhaini!

Kwa level ya nchi, jirani zetu ni nchi majirani zetu, Watanzania tuwapende Wakenya, Waganda, Wanyarwanda, Warundi, Wakongomani, Wamalawi, Wazambia na Wasumbiji, ndio majirani zetu.

Hebu basi tuanze kueneza upendo kwa kuwaangazia majirani zako waliokuzungunguka uone ni watu wenye hali gani, wakumbuke wagonjwa mahospitalini, wafungwa magezani, yatima kwenye nyumba za mayatima au watu wengine wowote wenye uhitaji, hebu jitoe uwashike mkono kwa kidogo chochote kitu kwa kujitoa kwa upendo kuwatolea chochote ili na wao pia wajisikie unawajali!。

Kwa mfano kama kuna mtu aliweza kuonyesha upendo wa hali ya juu kwa kwenda hospitalini Nairobi kumpa pole Mtanzania mmoja aliyemiminiwa pyu pyu za kutosha!。

Sisi wenye jicho la tatu,hata ukiona tuu picha ya mtu anamsalimia mtu,unaweza kuona na kujua kama salimia hiyo ni salimia ya wajibu au salimia ya upendo wa dhati!

Japo upendo wa dhati hukaa moyoni,lakini ukimuangalia tuu mtu machoni,sisi wa jicho la tatu,tuliuona upendo wa dhati kupitia lile jicho pale hospitalini Nairobi!。

Jicho la upendo ule nikaja kuliona tena Brussel Ubelgiji,mtu alimtembelea mtu Ubelgiji!

Upendo ule wa mtu kwa mtuwe,nikaja kuuona tena kijijini Kizimkazi!,kuna simba machachari akapowa jina la mtu fulani hivi,machachari!,hivi mtu unataka upendwe vipi ndipo uelewe unapendwa?,yaani mtoto wa kike wa kiafrika aliyelelewa akaleleka aje akuambie ”nakuoenda”!,kamwe haitotokea!,wewe angalia tuu dalili!,mijitu mingine hata lipendwe vipi,lionyeshwe dalili zote!,mtu amtume hadi mtoto wake wa kumzaa aje nyumbani kwako!,huelewi tuu?!。 Kama kuna watu walidhani mtoto wa Mama alijiendea tuu bila kumjulisha mama yake,aminini hivyo,sisi tunaojua jinsi yule mama anavyompenda yule mtoto mtundu,tunajua!

Hivyo hata sasa huyu mtoto mtundu pale alipo,kupitia upendo ule ule wa Nairobi Hospital,wa Ubelgiji na wa yule Simba wa Kizimkazi,upendo huo unaweza kuwa extended,mtu akaenda Ukonga kumtembelea mtu!,JPM alitembelea magereza!

Hitimisho
Huu ni mwaka wa uchaguzi,tuonyeshe upendo wa kweli kwenye uchaguzi huu,ukiwa na upendo wa kweli na upendo wa dhati,hao wanaopiga kelele kutaka minimum reforms,utawapa!mimi najua kwa hakika,upendo wake ni wa dhati,minimum reforms,tutaopata,na uchaguzi wa mwaka mwaka huu utakuwa ni uchaguzi huru,wa haki,amani na upendo!

Mungu Ibariki Tanzania

Peace and love!

Paskali.
Siasa ni kitu kingine kabisa
 
Kwani!aliekuambia upendo umepungua nani kuelekea uchaguzi mkuu!?

Mbona upendo upon wa kutosha na haki inatekelezwa tu kama kawaida!!?

Hasta juzi tumeshuhudia haki Kwa mashekhe ikitekelezwa kisheria we hujaona!!?

Tulia ndugu yangu watu wafanye kazi yao!!!
 
Siku inakuja ambayo kila mtu atavuna alichopanda akiwa hai hapa

Pole sana Mtumishi wa Yehova Padre Kitima, Mola akurejeshee siha yako upesi.
 
Mkuu, ulichoandika vingi ni sahihi lakini shida ni kuwa vyote ulivyoandika hapo wengi hawaviishi hivi Sasa, chuki, husda na roho mbaya umetawala siyo tu kwenye dini Bali pia siasa na vitu vingine, upendo wa wengi umepoa, Dunia imegeuka kuwa sehemu ya maangamizi, umoja na upendo wa kweli umepotea
 
Uislamu unakataza wao kuwa marafiki na wakristo na wayahudi, upendo upi unaouongelea?

Quran 51:69
Mwenyezi Mungu amewakataza waja wake Waumini kuwa marafiki wa Mayahudi na Wakristo, kwa sababu wao ni maadui wa Uislamu na watu wake, Mwenyezi Mungu awalaani. Kisha Mwenyezi Mungu anasema kuwa wao ni marafiki wao kwa wao na anawaonya wanaofanya hivi.

Kubwa kuliko ni kwamba hatuabudi Mungu mmoja kaka Mayalla,kasome tena chimbuko na tofauti ya imani hizi.
 
Wanabodi

Leo tena naendelea na zile mada zangu za holistic approach kumtumia Mungu kwenye kufundisha mambo ya uchaguzi wetu wa mwaka huu ili twende kwenye uchaguzi mkuu ambao sio tuu ni uchaguzi huru na wa haki,bali pia uchaguzi wenye upendo,utulivu na amani。

Mada ya leo ni ninafundisha kuhusu upendo wa dhati,upendo wa kweli wa moyoni,。Upendo wa kumpenda Mungu,kujipenda wewe mwenyewe,na kumpenda jirani yako kama nafsi yako!。

Je wajua kuwa Wakristo na Waislamu ni watoto wa baba mmoja,Nabii Ibarahim?。
Je wajua Mungu wao ni Mungu mmoja ila anaitwa tuu kwa majina tofauti tofauti?。
Je wajua sheria ya hizi dini zote mbili ni sheria moja ile ile sheria Mussa?, ambayo Kikristu iko kwenye kitabu cha Kumbukumbu la Torati,kwenye Biblia na Kiislamu ni Taurat?na Amri Moja Kuu kwa hizi dini zote mbili ni upendo, mpende Mungu,jipende,mpende jirani yako kama unavuojipenda wewe!,huyo jirani yako ni nani?natoa wito kwa uchaguzi wa mwaka huu, tupendane jameni!,ukimpenda mwenzako,hutambamnikizia kesi,ukimpenda mwenzako hutamsokomeza mahabusu,ukimpenda mwenzako,utamtendea haki,ukimpenda mwenzako,hutamuibia kura zake,ukimpenda mwenzako,utashindana nae kwa haki。
Angalizo la Mada Ndefu
Mtanisamehe,kuna baadhi ya mada zangu zinakuwa ndefu kwasababu naandika kwa inspiration,vitu vinashuka tuu,hivyo kuwasaidia wasiopenda makitu marefu wanaweza kuishia hapa na ku jump kwenye hitimisho。

Japo upendo wa dhati hukaa moyoni,lakini ukimuangalia tuu mtu machoni,sisi wa jicho la tatu,tuliuona upendo wa dhati kupitia lile jicho pale hospitalini Nairobi!。

Jicho la upendo ule nikaja kuliona tena Brussel Ubelgiji,mtu alimtembelea mtu Ubelgiji!

Hivyo hata sasa huyu mtoto mtundu pale alipo,kupitia upendo ule ule wa Nairobi Hospital,wa Ubelgiji na wa yule Simba wa Kizimkazi,upendo huo unaweza kuwa extended,mtu akaenda Ukonga kumtembelea mtu!,JPM alitembelea magereza!

Hitimisho
Huu ni mwaka wa uchaguzi,tuonyeshe upendo wa kweli kwenye uchaguzi huu,ukiwa na upendo wa kweli na upendo wa dhati,hao wanaopiga kelele kutaka minimum reforms,utawapa!mimi najua kwa hakika,upendo wake ni wa dhati,minimum reforms,tutaopata,na uchaguzi wa mwaka mwaka huu utakuwa ni uchaguzi huru,wa haki,amani na upendo!

Mungu Ibariki Tanzania

Peace and love!

Paskali.
Let's not beat around the Bush mkuu unacho maaniasha uchaguzi hu ni Uislamu Vs Ukristo japo wote wana chimbuko moja.

sidhani kama hu uchaguzi ni wa kidini japo wakuristo wengi wana muona Raisi katika Dini yake jambo ambalo ni hatari, litalazimiasha waiaslamu wote wawe nyuma ya Raisi sio kwasbb ya ukweli au uongo wake lakini kwasbb ya Dini yake
Naomba tusichanganye Dini na uchaguzi wa mwaka hu Lissu na Chadema wana hoja japo ni mkristo, na waislamu wanapaswha kumuunga mukono japo wakrisato wa Jf wana chuki na Waislamu na dini yao.
 
Huna jipya saaana kwasasa. Hueleweki yani. Full self-spinning.
Una swing kama pendulum bob
Mada nyingine ni mada za ki falsafa,ili uzame unapaswa kuwa na kichwa cha kiwango fulani cha uelewa,ikitokea wewe kichwa chako,ndio vile vichwa vya wenzangu na mimi,ni kweli utaishia ku swing tuu kama pendulum,huku umetoka patupu!。Pole!
P
 
PIcha linaanza, steringi umejificha kwenye mchicha.😂. Your Honourable, mkuu, with due respect kabisaa, hapo hakuna falsafa umeandika. Ludoby Hapa kuna filosofi kweli????
 
Sisi hatuwezi tengenishwa na dini, mimi ni muislam lakini pia ni mtanzania, siwezi mchukia mkristu kisa tu ukristo wake hali ya kuwa anafaa kuwa kiongozi.

Nimesoma simulizi ya mzee wtu Mohamed saidi kuhusu kanisa lile la lindi huko..
Waislamu ndio walimsindikiza nyerere kanisani, hawakumuamini mwingine, hata wakristo wenzake, wakampa nafasi kwenye TANU hali ya kuwa nyerere alikuwa wakuja, kisa tu alikuwa na sifa zaidi lakini pia ili wapate umoja isionekane waislam ndio kila kitu, japo baadae mchango wao ukazimwa kimtimdo..

Kubwa zaidi walimsapoti, mimi nitamsapoti yoyote yule mwenye dalili ya kuleta maendeleo ya kweli nchini kwetu, mwenye uchungu na hili taifa.

Hii nchi haina udini, ila upo uhuru wa kuabudu nami naridhika na uhuru huo.

FULL STOP
 
Back
Top Bottom