Wajanja wa game kali za mobile tukutane hapa

Wajanja wa game kali za mobile tukutane hapa

Asphalt 9 : Legends ndo game yangu bora kwa sasa ila inakula mb hatari ,inapatikana tu Playstore.
1. Wakuu sharti ni ziwe mobile games. Unapotaja aina ya game jaribu kutoa na source ya kulipata au ulivyolipata aidha ni Playstore, Appstore au Kwenye Browsers.

2. Pia unaweza kuweka link itakayorahisisha kulipata hilo game.

3. Unaweza kuweka ushauri au attachment yeyote kuhusiana na hilo game

4. Kwa wale tunaopenda kuenjoy game online tunapeana connection na friend request hapa.

Its all about mobile games.

My Favourite Mobile Games
*PES Mobile 2020
*BB Racing
*Brother In Army 3 (BIA)
*Need For Speed (Most Wanted)

Drop Your Favourite Mobile Game Hapa[emoji116][emoji116][emoji116]
 
Hilo halina shaka je lina ligi

mkuu nikipata la 2021 nitakuja kukupa link...
 
Me nimelitafuta nimekosa ngoja mkuu aje atupe link kama lipo... au ndo lile moded na fifa 14
Itakuwa hivyo au psp game. maana nilisikia mwaka huu may be Konami wanaweza weka baadhi ya option ziwe offline.
 
Itakuwa hivyo au psp game. maana nilisikia mwaka huu may be Konami wanaweza weka baadhi ya option ziwe offline.
Aaah siku hizi wahuni huwa wanaahack online games zinakuwa offline kama Fifa la playstore ni online ila mod yake ni offline
 
Aaah siku hizi wahuni huwa wanaahack online games zinakuwa offline kama Fifa la playstore ni online ila mod yake ni offline
Wanaionea Fifa 14 tu, au wewe una Fifa 20 mobile offline mkuu
 
Kaka hli FIFA ofline unaweza kutuma link
Mkuu nimetuma link hapa ya FIFA 20 semaa naomba mnivumilie nitafute 2021 ya uhakika kabisaa me nitajilipua kudownload nikipata yenyewe ambayo iko fresh kabisa nitaleta hapa nitawaita kabisa mje mchukue mnivumilie tu wakuu...
 
Back
Top Bottom