Wajanja wa game kali za mobile tukutane hapa

Wajanja wa game kali za mobile tukutane hapa

Mkuu nimetuma link hapa ya FIFA 20 semaa naomba mnivumilie nitafute 2021 ya uhakika kabisaa me nitajilipua kudownload nikipata yenyewe ambayo iko fresh kabisa nitaleta hapa nitawaita kabisa mje mchukue mnivumilie tu wakuu...
PW mkuu tunakutegemea
 
Kama unapenda kucheza hilo la 2020 link nimeshatuma humu...
ukipata shida yoyote nitafute nijarbu kukusaidia
 
Eti wakulungwa...naomba niwaulize,

Candy Crush ni game la kucheza mwanaume?
 
Wakuu kwa ane fahamu hii game "cover fire" ni first person shooter au third person shooter?
 
Nime test fifa 21 nao grafik co kali alafu lina speed sana
 
Saivi nipo 2898, level ngumu balaa
Hongera sana..Liko Kama Hili,,? Au ni game la escape room aina nyingine?
Screenshot_20201212-074258.jpg
Screenshot_20201212-074447.jpg
 
Back
Top Bottom