Kwawale wapenzi wa online games ,hii hapa inaenda kukata kiu yako.
Inaitwa hackers yaani wadukuzi ni moja kati ya gemu pendwa sana .linapatikana playstore na appstore .
Game hii inakupa nafasi wewe mchezaji kuunda na kuikuza network yako ambayo itakuwa na fedha (Us dollars) ,bitcoins , server farms ( nodi yakuzalisha fedha ) pamoja na bitcoin mine (nodi yakuzalisha bitcoin.)
Zipo nodi zaulinzi kwaajili yakulinda network yako pindi inapokuwa imevamiwa na hackers wengine.
Kwahiyo utatumia fedha unazozalisha pamoja na bitcoins kulevel up pamoja nakudevelop nodes, na programes zakuhack network za wapinzan wako.
Game hii imeweka best hackers bod kwahyo kila unapopata point nyingi utaenda unapandishwa rank kwakupewa nyota , lakin pia wamerank best country kwa hacking.[emoji16][emoji16]
Game hii inawezakukuchukua takriban miaka hata mi5 bila yakuimaliza[emoji38] .mm nimeanza mwaka juzi ila mpaka leo nipo level ya 34 na nina nyota mbili katika rank yapili inayoitwa talent.
Kitu kingine kizuri kwenye game hii nikwamba linatunzwa katika gmail account yako kwahyo hata ikitokea umepoteza simu yako unaweza kulog in gmail yako kweny simu ingine nakuendelea na game kwenye level ileile uliyokuwa [emoji23][emoji23][emoji23] this is good .
Karibuni sana gamers wenzangu katika cyber war tuweze kuiwakilisha Tz vizur [emoji16][emoji16]