Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Linaitwa ni Candy crush sagaNdio ni zuri na lina ugumu wake kiasi. Mim nilifikiri huwa unalicheza hili. Kwani La kwako likoje?
Linaitwa ni Candy crush sagaNdio ni zuri na lina ugumu wake kiasi. Mim nilifikiri huwa unalicheza hili. Kwani La kwako likoje?
OkayLinaitwa ni Candy crush saga
Huwa naliona la kawaida.. na pia huwa na hisi zile rangi zinanichanyanya mapema.Linaitwa ni Candy crush saga
Ukilizoea ni zuri sanaHuwa naliona la kawaida.. na pia huwa na hisi zile rangi zinanichanyanya mapema.
kwa unavoliona unahisi lile ni la kucheza mwanaume?Huwa naliona la kawaida.. na pia huwa na hisi zile rangi zinanichanyanya mapema.
Sawa, nitakuja kujaribuUkilizoea ni zuri sana
Unaweza ukacheza na usilicheze pia. Inategemeana na aina ya games unazozipenda
mwananchi ogopa utapeli,candy crush ni game la kike ndomaana hata anayekushawishi ulicheze ni KEUnaweza ukacheza na usilicheze pia. Inategemeana na aina ya games unazozipenda
[emoji3] hata napo sio aina ya magame ninayopenda kucheza .Hivi kwani Wameandika ni maalum kwa ajili ya wanawake au wanawake wengi wamekuwa na mahaba nalo tu.mwananchi ogopa utapeli,candy crush ni game la kike ndomaana hata anayekushawishi ulicheze ni KE
Sent using Jamii Forums mobile app
Limeandikwa wapi la kikemwananchi ogopa utapeli,candy crush ni game la kike ndomaana hata anayekushawishi ulicheze ni KE
Sent using Jamii Forums mobile app
hili lina changamoto kweli, nimeanza kucheza jana saa tano usiku, now nimekwama mlango wa 17 sizioni code zakufungulia safe ya kwa freezerHongera sana..Liko Kama Hili,,? Au ni game la escape room aina nyingine?View attachment 1647767View attachment 1647768
Natumaini ulivuka salamahili lina changamoto kweli, nimeanza kucheza jana saa tano usiku, now nimekwama mlango wa 17 sizioni code zakufungulia safe ya kwa freezer
Yap nilivuka chief nikaja kwama tena door ya 19 ikabidi niweke pause nikomae na BIA3 kwanzaNatumaini ulivuka salama
Hili game la escape room Ni gumu sana
.mkuu hili ni online?8 ball pool is the best for me. Very addictive. Unaweza pia kucheza na rafiki yako yoyote alie na facebook account. Mzigo upo playstore