kiongoz hii n kitu ya online unacheza ww na marafik zako mech moja inakua na players 100 afu kila team inakua na players 4 kinachofuata n BATTLE la maaana wa mwisho ndio mshindMzee Hii Pugb mobile ikoje na story yake??? naiona ni maarufu sana ni action au ikoje
Hii huwa inahitaji Additional File baada ya kudownload??/ au ni hiyo mb 80 tu?Asphalt 8 racing game kwangu ndo best game so far
Mzigo umetoka gameloft , unaweza ku install kupitia playstoreView attachment 1535490
Yaphuwez kucheza offline??
Kumbe ni Bradd Pitt yule?? mi kuna level nikaishiwa assets likawa gumu kwangu ila bonge la game[emoji106][emoji123][emoji123]BIA3...( Brothers in Arms 3)
Character akiwa brad pitt....
Kwangu ni bora zaidi. Offline na online.... Battles
Nlitamani siku mingi hili ngoja nianze na hili...."Cover fire"
bonge moja la Game wakuu linapatka Play store View attachment 1535503
Ndio mkuu.....Kumbe ni Bradd Pitt yule?? mi kuna level nikaishiwa assets likawa gumu kwangu ila bonge la game[emoji106][emoji123][emoji123]
Game moja zuri Sana mkuu . Kuna Magame mengine Unayatengeneza kwenye PPSSPP kama GOD OF WAR noma sama mkuuNlitamani siku mingi hili ngoja nianze na hili....
Mzee inakuwaje hii huwa napenda san kuzipata hizi game za psp.....Najua tu app ya psp naipata playstore je hizi game je nazipatia wapi...?? kuna watu naona wamehack sijui ku patch Pes hadi Simba ipo[emoji3]Game moja zuri Sana mkuu . Kuna Magame mengine Unayatengeneza kwenye PPSSPP kama GOD OF WAR noma sama mkuu
Naona hii game wameitoa kwenye movie, movie yake Ni balaa na i hope game nayo itakuwa nzuri.Utakuja kuniambia mkuu...Ni bonge moja la game lazima utumie sana akili kwenye baadhi ya sehemu.....Unaweza kudata[emoji3]View attachment 1535484
Ndio game ninayoicheza muda mwingi ila sijajua kwanini sioni ile mandhari ya volcano tenaNzuri sana
Aaah mi nilibakiza campaign mbili.Nilifungua almost mabrother wote
Ile nahisi haina mwisho😅 me naona inavyozidi kwenda mbele inakua more interesting mtu unajitahidi kupambana uone mbele kuna kikwazo kipi[emoji3][emoji3][emoji3]Ndo huwaga nashindwa hapo kwanza hafiki mwisho