basi kila mtu katupwa 1st choicengoja selection zitoke utaniambia.
kwa akili yako ndogo umeona udsm ndo chuo eeh jipangeItakua poa coz me nitaenda Udsm,
kwa akili yako ndogo umeona udsm ndo chuo eeh jipange
Acha kuzubaa,kama last week kuna moja ya kozi yako iligeuka na kuwa not eligible,basi acha kumbweambwea,ndio tayari hvo ushatupwa kwenye hicho chuo.
Source:mimi mwenyewe jana niliongea na IT officer wa tcu.
mwana pole xana kama unafikiri kwenda chuo ndo maisha yamenyooka....... pole xana,,,,,,,Hahaha, kama kweli daah maisha yashanyooka