**** wewe sasa unataka nisome chuo cha baba ako ivi chuo gani kinatoa wahandisi wazuri zaidi ya Ud. **** kabisa wewe. Yawezekana ulifeli thats why unaichukia Ud.
Ivi kumbe hawa wahandisi wa ki-china wanao pewa hizi "tenda" za ujenzi wa barabara na magorofa nao wamepita CoET pale UD?? ivi lile gorofa lililo poromoka lilikua linajengwa na wahandisi gani vile??

mwana pole xana kama unafikiri kwenda chuo ndo maisha yamenyooka....... pole xana,,,,,,,
Mods huyu mfungie, kwenye alama za nyota anaashiria matusi. hafai na huyo ndiye anakwenda kupata mkopo awe mtaalamu na raia mwema. Mods futa kabisa huyo mtoto, anaanza vibaya!
biashara umesema??Ha ha ha.... Acheni wivu bhana, nyie km mlisoma biashara,mapishi,etc.. achen kukashifu taaluma za watu, engineerz wapo na wanapiga mzigo ile mbaya... Et maghorofa yamedondoka, unazungumzia ya mwaka upi?? Af usikariri, engineer sio lazima awe civil eng(waujenzi) wapo engineerz wa aina mbalimbali e.g telecom, mining eng, mechanical eng etc... I do hope hamta kariri tena!
Ha ha ha... Hebu 2ache kujifariji,,, kwa hiyo tcu hawajui maana ya not eligible au?? Kwann isingegeuka ikawa processed pale ilipo andikwa not processed?
Ha ha ha.... Acheni wivu bhana, nyie km mlisoma biashara,mapishi,etc.. achen kukashifu taaluma za watu, engineerz wapo na wanapiga mzigo ile mbaya... Et maghorofa yamedondoka, unazungumzia ya mwaka upi?? Af usikariri, engineer sio lazima awe civil eng(waujenzi) wapo engineerz wa aina mbalimbali e.g telecom, mining eng, mechanical eng etc... I do hope hamta kariri tena!
nimepiga PCM nina 1.8 ila cjachagua udsm..point yangu hapa ni hii..**** wewe sasa unataka nisome chuo cha baba ako ivi chuo gani kinatoa wahandisi wazuri zaidi ya Ud. **** kabisa wewe. Yawezekana ulifeli thats why unaichukia Ud.