Wajanja tushajua tumechaguliwa wapi na tcu.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Acha kuzubaa,kama last week kuna moja ya kozi yako iligeuka na kuwa not eligible,basi acha kumbweambwea,ndio tayari hvo ushatupwa kwenye hicho chuo.
Source:mimi mwenyewe jana niliongea na IT officer wa tcu.
 
Mbona kunajamaa yangu hakikubadilika kitu kwenye 1st choice yake
 
kwa akili yako ndogo umeona udsm ndo chuo eeh jipange

**** wewe sasa unataka nisome chuo cha baba ako ivi chuo gani kinatoa wahandisi wazuri zaidi ya Ud. **** kabisa wewe. Yawezekana ulifeli thats why unaichukia Ud.
 
Acha kuzubaa,kama last week kuna moja ya kozi yako iligeuka na kuwa not eligible,basi acha kumbweambwea,ndio tayari hvo ushatupwa kwenye hicho chuo.
Source:mimi mwenyewe jana niliongea na IT officer wa tcu.

kwahyo unataka kunambia design kama mimi kitu cha finance udsm kinaniita
 
Ha ha ha... Hebu 2ache kujifariji,,, kwa hiyo tcu hawajui maana ya not eligible au?? Kwann isingegeuka ikawa processed pale ilipo andikwa not processed?
 
Mmmh hebu nikamwambie dogo mpiga msuli kuwa kachaguliwa political science,
 
Back
Top Bottom