Wajanja tushajua tumechaguliwa wapi na tcu.

Ha ha ha... Slaker inaonekana ww ndo ulikuwa unakariri physics na ndio maana ikakushinda, tena nahisi uliikimbia ukaenda arts 4m3! Wajanja 2naiweza na ndio maana 2mefaulu o level, advance na 2naendelea nayo chuo kikuu...
 
Kha! kumbe watoto wanabishana mi nilijua sijui nin endeleeni kuchekelea kuchaguliwa ila mkumbuke kuna njaa kubwa sana mfikapo chuo coz kizaz chenu wengi wenu hawana boom bora sie tuliosoma enzi zile hazina ilivyokuwa financialy well
 
wote mnaobishana humu ni vilaza tu hamna jipya ngoja mwanaume nitulie zangu@all
 
LORDVILLE umenukuu vizuri sasa jina la chuo sijaona, au wewe unaona sehemu imeandikwa DIT, TEKU, SAUT, ST JOHN, MIST, UDOM etc hapo? Poa tungoje matokeo.
 
Last edited by a moderator:

Jamani,narudia tena kusema kwa msisitizo,kama last week kuna moja ya kozi yako no matter ilikua 1st choice au last choice ilibadilika na kuwa not eligible basi elewa ndio umechaguliwa hapo.kama hakuna changes yoyote iliyotokea,basi get ready for 2nd round of application.asanteni kwa ushirikiano wenu.
NB:Kulikua na system error,badala ya system kuandika neno selected yenyewe ikaandika not eligible,nadhani wote mnajua ni jnsi gani nchi yetu tulivo nyuma kiteknolojia,so neno not eligible lilitumika kama kumark watu waliochaguliwa.

Kama kaukweli ukweli hivi! Lakini mbona ilirudi kuwa kawaida? Tetea hoja yako kwa uthibitisho kuntu.
 
thanx 4 ur updates! Bt lets wait 4 de approval!
 
Kama kaukweli ukweli hivi! Lakini mbona ilirudi kuwa kawaida? Tetea hoja yako kwa uthibitisho kuntu.

kuna matatzo ya system ndo maana ukaona hvo,na lile neno not eligible lilikuja baada ya system kushndwa kuandka neno selected.swali lingine?
 
kaka ncje nkashangilia hlf ikaja viceversa, hiyo habar ni kwel mkuu
 
LORDVILLE umenukuu vizuri sasa jina la chuo sijaona, au wewe unaona sehemu imeandikwa DIT, TEKU, SAUT, ST JOHN, MIST, UDOM etc hapo? Poa tungoje matokeo.
huwez kuona mkuu mana ulijumuisha vyote(hamna chuo kinachotoa ma engineer wazur kama ud),nadhan umeelewa. Ila ckua na dhumun la kubishana na wewe,nlitaka tu ujue ulichosema hakikua kizur hasa kwa wenzetu ambao hawakufaul fresh kama wew na wengine,angalia maneno yako mana kuna watu wana kwazika bila wew kujua...JIREKEBISHE!
 
We perry mimi o-level nimepiga sc na art phy b chem b math a hist a geog a engl b ,so nimechukua hgl sio kwamba swez sc
 
Ha ha ha... Slaker inaonekana ww ndo ulikuwa unakariri physics na ndio maana ikakushinda, tena nahisi uliikimbia ukaenda arts 4m3! Wajanja 2naiweza na ndio maana 2mefaulu o level, advance na 2naendelea nayo chuo kikuu...

boy o-level,nligongwa ma b flat ya hyo pcm,,,hope yalikuwa 80,80......adv. Egm boy mpango mzma,nw mmoja wa wadahiliwa...........teh teh Mkuu freeman
 
Last edited by a moderator:
from wat i know,tz kuna waandisi mabosi(wasmamizi wa miradi ya halmashauri 2) lkn waandisi labda wakujenga mtaani....huku.kwanza tz hakuna mwandisi hata 1,,,,

ni mwandisi au mhandisi? Nyie form six leaver acheni kulumbana bila tija.
 
Kwenda chuo ni moja, mbili kuchomoka huko, tatu kazi kuipata ni kazi, nne kazi yenye kipato.........yote yanawezekana ila uvumilivu unahitajika kwani wapo wenye miaka zaidi ya mitatu hawana a wala b, vyeti hadi vumbi.....muombeni mungu mambo si marahisi kama mnavyodhani
 
Back
Top Bottom