Nooooo...... Me natamani uwe unawafundisha wakaka wanaojiandaa kuoa maana wengine wanaoa lakini majukumu yao hawayajuiii...Nikupunguzie kiduchu?
Ni kweli sema wanaume huwa tunajitoa ufahamu hasa tukiwa hatuna kitu lakini zikiwepo kama na demu kichwani yupo vizuri ni kuzitumia tu kikamilifu na mwisho wa siku mnapata furaha ya pamoja (kila mmoja ananufaika kwa uwepo wa fedha sio unakaa pozi la akiagiza kitu flani naumia au akiagiza kitu ambacho cha be ya chini unashangilia kimoyomoyo)busta ya kweli ujue
Sijawahi kuambiwa maneno hayo, trust me hayo maneno ukimtamkia mwanaume direct anaweza kujiua....Mwanaume anapata mke mzur halafu kumtumia hawezi.... Anaishia kukoromakoroma tu... Jifunzeni kumaliza kiu zetu vinginevyo utachapiwa tu hata uweke mlinzi.
Upo sahihi huna haja ya kumfatilia dem wako utapata vichomi bureee we mpende na piga show tamuu atakuelewa wengine watakuwa makokoro tuuMpe Mpenzi wako sababu ya yeye kujilinda akiwa
mwenyewe hata kama haupo...Usitumie Nguvu na
Ubabe kumlinda kama hana sababu ya yeye
kujilinda mwenyewe.
Mpende na ajue anapendwa ili asiwe na sababu ya
kuuchakachua upendo unaompa maana unamtosha kumlinda dhidi ya maupendo feki ya
mtaani.
Sasa wewe badala ya ku-invest muda wako kumpa
Upendo wa kutosha,umejigeuza Alarm,unadhani
kwamba unaweza kumlinda asiibiwe au
asikusaliti...Unapoteza muda kumfuatilia anaenda wapi,na nani,
na kwanini hajaaga,unamfuatilia nani
kamtumia meseji na nani anaongea nae kwa simu
mpaka unaenda kuprint statement kwenye
mtandao anaotumia...
Unapoteza muda wako
Kama hujawahi kumiliki hata Shina la Mgomba
utawezaje kumiliki mtu???
Mpenzi halindwi kama alarm,
watu watai-Snooze na
watamuiba kama kawa,Mpe sababu za kujiona
anapendwa ili ajilinde mwenyewe.
Kumlinda Mpenzi
ni sawa na kulinda Bahari,wewe unalinda Coco
Beach wenzio wanavua samaki Bagamoyo
umenena vyema pesa na mapenzi ni mtu na pacha yakeNi kweli sema wanaume huwa tunajitoa ufahamu hasa tukiwa hatuna kitu lakini zikiwepo kama na demu kichwani yupo vizuri ni kuzitumia tu kikamilifu na mwisho wa siku mnapata furaha ya pamoja (kila mmoja ananufaika kwa uwepo wa fedha sio unakaa pozi la akiagiza kitu flani naumia au akiagiza kitu ambacho cha be ya chini unashangilia kimoyomoyo)
Umeongea fact, tatizo masela skuizi tumekuwa na papara, kiasi kwamba unahisi usipoonesha wivuwivu wa kishenzi basi utaonekana hauna mapenzi ya dhatiUpo sahihi huna haja ya kumfatilia dem wako utapata vichomi bureee we mpende na piga show tamuu atakuelewa wengine watakuwa makokoro tuu
nasema ukweliKwa pesa umeshindikana
Hii itakuwa defense mechanism... Unaumia rohoni ila hauna jinsiMpe Mpenzi wako sababu ya yeye kujilinda akiwa
mwenyewe hata kama haupo...Usitumie Nguvu na
Ubabe kumlinda kama hana sababu ya yeye kujilinda mwenyewe.
Mpende na ajue anapendwa ili asiwe na sababu ya kuuchakachua upendo unaompa maana unamtosha kumlinda dhidi ya maupendo feki ya mtaani.
Sasa wewe badala ya ku-invest muda wako kumpa Upendo wa kutosha, umejigeuza Alarm, kwamba unaweza kumlinda asiibiwe au asikusaliti...
Unapoteza muda kumfuatilia anaenda wapi, na nani, na kwa nini hajaaga,unamfuatilia nani kamtumia meseji na nani anaongea nae kwa simu mpaka unaenda kuprint statement kwenye mtandao anaotumia... Unapoteza muda wako Kama hujawahi kumiliki hata Shina la Mgomba utawezaje kumiliki mtu???
Mpenzi halindwi kama alarm, watu watai-Snooze na watamuiba kama kawa,Mpe sababu za kujiona anapendwa ili ajilinde mwenyewe. Kumlinda Mpenzi
ni sawa na kulinda Bahari,wewe unalinda Coco Beach wenzio wanavua samaki Bagamoyo
hahahahhahhhaaa we jamaa una maneno kweli aiseeKumlinda Mpenzi
ni sawa na kulinda Bahari,wewe unalinda Coco Beach wenzio wanavua samaki Bagamoyo