Wajanja hatulindi demu, bali tunafanya hivi

Wajanja hatulindi demu, bali tunafanya hivi

Ukitaka uishi kwa amani na hawa watu inatakiwa ufaham kuwa hakuna mwanamke wa peke yako hata uzunguke dunia nzima binadamu huwa tunapenda sana lakini kumpenda mtu hakuzuii sana kuchepuka tunapenda na tunachepuka pale inapibidi
 
stunter agiza kinywaji kwa mangi nakuja kulipa
 
Ukitaka uishi kwa amani na hawa watu inatakiwa ufaham kuwa hakuna mwanamke wa peke yako hata uzunguke dunia nzima binadamu huwa tunapenda sana lakini kumpenda mtu hakuzuii sana kuchepuka tunapenda na tunachepuka pale inapibidi
Cheers
 
hahaha kwa manenoo hayo umewapa kichwa eti muache mwanamke ajilinde mwenyewe mkuu usijaribu mwanamke mda mwingine ni kama mtoto mdogo unapopata wasaa wa kumlinda na kumchunga mchunge usipotata acha.
we sema ajilinde mwenyewe utashangaa unavoletewa watoto wa kiarabu hawa viumbe wakat mwingine tunapaswa kuwa wakali kidogo
 
Mpe Mpenzi wako sababu ya yeye kujilinda akiwa
mwenyewe hata kama haupo...Usitumie Nguvu na
Ubabe kumlinda kama hana sababu ya yeye kujilinda mwenyewe.

Mpende na ajue anapendwa ili asiwe na sababu ya kuuchakachua upendo unaompa maana unamtosha kumlinda dhidi ya maupendo feki ya mtaani.
Sasa wewe badala ya ku-invest muda wako kumpa Upendo wa kutosha, umejigeuza Alarm, kwamba unaweza kumlinda asiibiwe au asikusaliti...

Unapoteza muda kumfuatilia anaenda wapi, na nani, na kwa nini hajaaga,unamfuatilia nani kamtumia meseji na nani anaongea nae kwa simu mpaka unaenda kuprint statement kwenye mtandao anaotumia... Unapoteza muda wako Kama hujawahi kumiliki hata Shina la Mgomba utawezaje kumiliki mtu???

Mpenzi halindwi kama alarm, watu watai-Snooze na watamuiba kama kawa,Mpe sababu za kujiona anapendwa ili ajilinde mwenyewe. Kumlinda Mpenzi
ni sawa na kulinda Bahari,wewe unalinda Coco Beach wenzio wanavua samaki Bagamoyo


Hii ndo mistari!, Words. Clap!, Clap!, Clap!
 
Kumbe unamzungumzia demu!!!

Mwanamke sio wa kuchunga kama ilivyo kwa wanaume. Mtu mzima unaanzaje kumchunga kwa mfano kama hajiheshimu hatokakaa hajiheshimu milele, tabia haina dawa
 
Haaa haaa umenifurahisha sana. Eti mtu humiliki hata shina la mgomba unataka kummiliki mwanamke" .
 
Hivi unadhani wanaosaliti hawawapendi wenza wao?. Unasalitiwa na bado wapendwa binadamu hasa manamke hatabiriki bhana
 
Mie akigongwa hakugongwa akafie mbele ila nisijue tu,mawazo maisha magumu haya hela yenyewe ngumu kiama bado kuna familia ya kuangalia huku tena nihangaike nani anawasiliana na mwanamke wangu?aah wapi muda huo sina na namshkuru Mungu hili ni moja ya jambo ambalo nimeweza kuliondoa mawazoni mwangu.
Jaribu siku moja ufanye utafiti majirani au watu wanaojua nani anagonga mkeo wanakuchukuliaje.
 
Mwanaume anapata mke mzur halafu kumtumia hawezi.... Anaishia kukoromakoroma tu... Jifunzeni kumaliza kiu zetu vinginevyo utachapiwa tu hata uweke mlinzi.
Inabidi kipindi cha uchumba unamchunguza mumeo mtarajiwa kama atakumudu au hatakumudu.Kugongwagongwa kunafanya ndugu zako taarifa zikiwafikia hatakabla ya mumeo kushtuka,wajisikie vibaya.
 
Na akishajua tuu unamlinda baaaaas
Ndo anajipeleka kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom