Wajamini dawa ya upweke ni mini?

Wajamini dawa ya upweke ni mini?

Thnx my
Pole mpenzi,kuachwa au kuachana na umpendae we we sio wakwanza,Moyo unauma sana kwavile hauna mifupa,Fanya vile vitu roho inapenda mfano kuangalia move, kusikiliza mziki,kwenda kwenye michezo,ama kusoma novel vitakusaidia sana kukutoa hapo,Unaweza bila yeye na ukionyesha kuwa bado maisha yanaendelea na raha zako,Ataona wivu juu yako
 
Yangu boy wangu aniache nimekuwa mtu wa hasira yaani unaweza nisemesha vizuri tu lakini nikakujibu vibaya

Nashinda tu nimelala nikichoka kulala naingia bafuni nakaa huko wee natoka nimeridhika.

Imefikia hatua hata sielewi kwakweli maana hapo nyuma sikuaga hivi. Yawezekana ni upweke tu unasumbua.

Wanaume wa jf nao wamejaa kejeli hata kufarijiana awajua yaani kuna mmoja yeye yupo yupo tu ata kuongea hajui.
Poleee sana mrembo ukiamka unistue tufarijiane mrembo
 
Taguta kazi itakayokufanya uwe busy ukirudi jioni . Umechoka unasleep
 
Tafuta kazi itayokufanya uwe busy ukirudi jioni unapumzika.
 
Yangu boy wangu aniache nimekuwa mtu wa hasira yaani unaweza nisemesha vizuri tu lakini nikakujibu vibaya

Nashinda tu nimelala nikichoka kulala naingia bafuni nakaa huko wee natoka nimeridhika.

Imefikia hatua hata sielewi kwakweli maana hapo nyuma sikuaga hivi. Yawezekana ni upweke tu unasumbua.

Wanaume wa jf nao wamejaa kejeli hata kufarijiana awajua yaani kuna mmoja yeye yupo yupo tu ata kuongea hajui.
Simply jiweke busy. Una hoby,una kitu unachopenda kufanya ndio muda muafaka wa kufanya.
 
Back
Top Bottom