though avatar Yke inatia mshawasha "" sijui anania gani na vijipesa vyangu vya Mkopo aisee ""Bafuni ndio unapata faraja
acha basiii"" hebu ninong'oneze mkuu"" nani huyuHuu mwandiko kama nimeujua hivi loh dunia simama nishuke
Akikujibu najinsia yake ,naomba uning'ate sikio Damu yanguBafuni unafanya nn muda wote huo????
Huu ubuyu ni wa code kaliiii loh kweli shuzi limepata mjambajiacha basiii"" hebu ninong'oneze mkuu"" nani huyu
mimi nawewe "" hatunyiani umbea mkuu...Nile code hzoHuu ubuyu ni wa code kaliiii loh kweli shuzi limepata mjambaji
Huko bafuni unaingia na nin mkuu?
hahaha dirty mindBafuni unafanya nn muda wote huo????






wee mamaa swali lako umemuuliza lina utata huoni? hahaha nimecheka sanaMume nini bwanaaa![]()
Sasa rafiki uko bafuni alikua anapiga puchu auRafiki bafu limeokoa wengi!![]()
Lakini babe bafuni kweliii,kukaa tuu??heheehe hata kama ni stress hizi zimepitiliza....halafu anaongezea "mpaka analidhika" kabisaa sasa analidhishwa na nini???labda kama bafu lenyewe lina jakuzi,.ila kama haya mabafu yetu ya kwenda na kikopo mkononi sijui unaenjoy nini....uwiiiwee mamaa swali lako umemuuliza lina utata huoni? hahaha nimecheka sana









SelfieBafuni unafanya nn muda wote huo????
mwenzenu anapenda kukaa bafuni anatimiza ule msemo...Mume nini bwanaaa![]()
Baada ya kusoma comment kuna kitu kimenijia. Ngoja niende nkakifanyie kazi.Kuna njia nyingi sana za kufikisha ujumbe....! Msg sent and delivered!