Wajamini dawa ya upweke ni mini?

Wajamini dawa ya upweke ni mini?

Yangu boy wangu aniache nimekuwa mtu wa hasira yaani unaweza nisemesha vizuri tu lakini nikakujibu vibaya

Nashinda tu nimelala nikichoka kulala naingia bafuni nakaa huko wee natoka nimeridhika.

Imefikia hatua hata sielewi kwakweli maana hapo nyuma sikuaga hivi. Yawezekana ni upweke tu unasumbua.

Wanaume wa jf nao wamejaa kejeli hata kufarijiana awajua yaani kuna mmoja yeye yupo yupo tu ata kuongea hajui.
Pole mpenzi,kuachwa au kuachana na umpendae we we sio wakwanza,Moyo unauma sana kwavile hauna mifupa,Fanya vile vitu roho inapenda mfano kuangalia move, kusikiliza mziki,kwenda kwenye michezo,ama kusoma novel vitakusaidia sana kukutoa hapo,Unaweza bila yeye na ukionyesha kuwa bado maisha yanaendelea na raha zako,Ataona wivu juu yako
 
Usiwaze ujumbe wako umenifikia. Hata kama nipo nipo tu na sijui kuongea nitajifunza au nitaomba dalasa la kuongea
 
hahàaaaa"" kwahiyo hpo unawaponda wanaume wa Jf kijanja"".ili wengine wanao jifnya wanajua Ku care wakufuate Pm """

Jf imeshapatwa aiseee''"" mademu wa badoo wamevamia huku ""
hapana bana
 
Mleta siredi nae anatutega tu, Mana kasema anae boy wa JF ila sio muongeaji. Inabid PM zimiminike kwa wingi sasa. Ila wakati unasubiri suluhu ya tatizo lako usiache kwenda bafuni kupunguza machungu.
Pole mdada
Usinisingizie mie
 
Back
Top Bottom