Waitara: Watakachofanywa wanaomuita Rais mshamba


Huyu anaendelea kuthibitishia uma wa watanzania na dunia nzima kuwa wanaotwekwa nakupotezwa serikali inahusika mia kwamia
 
chadema ni kama kapu la takataka linajaziwa takataka likijaa zinenda kumwagwa siyo kuwa hazitaki ila anazitaka takazake ila zimejaa tuu
Bila shaka na wewe ni jambazi!
 
Y
Yeye ni mshamba na mbumbumbu namba moja, na kamwe sitakutana naye po pote. Na tutakapokutana naye kwa namna yo yote sitasubiri ni kweli tutamalizana.
 
Angesema mnamalizana sio unammaliza,wanaweza wakamalizwa wao case study Tarime waliomba po
 
Hiyo sauti ni yangu 100 kwa 100 utanifanya nini, alisikika akisema.
 
Atajikomba sana lakini 2020 hana lake
Aliokotwa jalalani akapewa teuzi km fadhila ya kuwatusi wapinzani sio Kwa sababu ni smart kichwani MTU wa kuropokaropoka hovyo siri za chama pombeni,aongexe bidii ili utumbuzi usimpite asirudie kazi yake ya awali ya kutembeza mayai
 
Hawa Jamaa ni washamba sana hata kauli zao ni za kishamba sana.MTU mshamba atazami kesho yake uropoka ropoka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…