Waitara: Wafuatao wanahama CHADEMA

Leo simu ya cocochanel imehackiwa. Sijuwi bado yupo kanisani. Akirudi ataua mtu.
 
Wanasubiri nini hawajaondoka mpaka sasa,watoke kabisa.
 
Acha waame ili wajue wenye msimamo ni wapi hata ngano ni lazima ipetwe ili ijulikane ipi ngano na ipi kapi.
 
Huyu Jamaa nimemdharau sana na mfano wake wa Mtoto wa kambo ..sikuamini asee..
Upeo mdogo sana.
 
Huyu Jamaa nimemdharau sana na mfano wake wa Mtoto wa kambo ..sikuamini asee..
Upeo mdogo sana.
Mkuu , usimdharau, mheshimu tu ,
Oengine hata wewe ungefanya maamuzi kama yake ,
Mfano, huwezi sema wewe siyo mwizi wakati hujakutana na kishawishi
 
Reactions: prs
Kama siasa ndizo hizi bora nistaafu siasa huko CHADEMA nadhani kuna mgogoro........bora niache kufuatilia siasa kuliko kwenda CCM walah siwezi kamwe nasema siwezi!!
Wewe hujafikwa bei, wapo kina dr.slaa walishachezea vipigo kutoka ccm. ,Ila walipofikwa bei walisepa na sasa wanakula keki ya taifa huko swedeni.

Tulia mkuu usiropoke, hata waitara alikuwa anaapa kuliko wewe, Watanzani wengi tumejaa njaa, hujaletewa fuko la hela ww, utamkana hadi mzazi wako. Ohooo
 
Ila Anthony komu simuelewi kabisa nyendo zake licha ya kuwa sikubaliani na hoja za huyu chizi, kuhusu milya it's matter of time!
Kwann mkuu, mimi hata msigwa simuamini, hata mbowe, ni LISSU tu ndio naweza kubet hatahama na asiniangushe,
 
CCM ndani kwa ndani kuna mtifuano..wait and see.

Hakuna amani Lumumba na kama ipo ni ya kinafiki na woga.
Chadema ndio hivo, migogoro yao inatumiwa kuwavuruga, ili apandikizwe Mtu, ona had CCM wamepandikiza Mamluki ndan ya CHADEMA na akashika nyazifa kubwa, MWENYEKIT WA BAVICHA, kazi yake ilipoisha karudi ccm
 
c
We jamaa umenichekesha sana tunatofautiana lkn mimi ni mimi Slaa nae ni yeye........kwa hiyo usigeneralize
Harafu unatakiwa ujue kuna mapenzi ya chama na maslahi
 
Kuna mgogoro gani huko Chadema
Chadema Hakuna mgogoro ila kuna watu wanafika bei...wanataka kuwachafuwa na wenzao waliowaacha kwenye mapambano...wewe kama umeondoka si uondoke...acha kuwapaka matope wenzako.. Chadema daima itabaki imara.... Hata aondoke Mbowe... Kwanza tumeshajua mbinu zenu...za kumchafua kamanda Mbowe baada ya kushidwa kumnunua... Tunasema Mbowe pambana mkuu wanachama tunakuamini na usitishwe na wanaoondoka.
 
Mbowe si tatizo,Anaifaa Chadema kuliko hao wahamiaji walioingia karibuni,
Watoke wote,wabaki wenye nia ya dhati wa kuikosoa serikali,na si wachumia tumbo
 
Mbona umemsahau kijana JJ,maana huyu fununu zake zipo kitambo.Ngoja tuone huu mchezo utakapoishia.
 
Vifaru vilivyotekwa tayari vishaanza kazi iliyosemwa ya kuwahangamiza maadui.

Good, walidhani wako gizani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…