Waislamu Waamua kumwaga Ugali baada ya CCM kumwaga Mboga

Mbona hajazungumzia madhila ya Waislamu waliyopata toka kwa CHADEMA kumvulia Hijabu DC na pia kumweka Padre kuwa mgombea ili akiingia Ikulu akandamize Waislamu?

Kua Padre sio issue inayotuuumiza kichwa, lakini kua Padre Adui wa Uislamu hilo laweza kua tatizo.
 
Very interesting, Waislamu wa humu Jf walipinga sana uteuzi wa Dr Slaa kugombea Urais kwa kisingizio kwamba hawawezi kuongozwa na Padre! This time around hayo yote yamezikwa! Ngoja tusubiri mchakato wa Katiba ukiisha tutasikia mapya!
 
Issue sio kua Padre au Buchanan, issue ni Uadilifu tu ndugu yangu. Kwanza lazima Ujue ni afadhali ya Padre kuliko watu kama kina Sheikh Jongo. Wao ni wanafiki. Muislamu Mnafiki ni hatari zaidi kuliko Mkrisito au Padre au Buchanan ambae hana Uadui na Uislamu. Kwani Miongoni mwa hao Mpadre na Kina Buchanan hua Waislamu wazuri kuliko wanafiki wanajibamba na Mahijabu kumbe ni Maslahi ya Dunia ndio Mungu wao na, wanatumia Uislamu kama Nyota ya kujitafutia umaarufu.
 
Haaaaa haaaaa, siasa tamu sana aiseee! Usiku unaitwa mchana na mchana unaitwa usiku!! Safi sana, nimeipenda hii!!
 
Hivi kwa unavyodhani wewe nchi hii ya waislamu pekee yao?????Maanake umejikita zaidi kuwasemea waislamu kuwa wanapata madhila je unasemaje kuhusu Madhila wanayopata wakristo kwa kumwagiwa tindikali,kuuwawa na makanisa yao kuchomwa moto na katika yote hayo hakuna hata mmoja aliyekamatwa na kushitakiwa??????
Mhhh! Sasa Wewe kama Muislamu, nini Msimamo wako juu ya hayo Madhila yaliyowakuta na yanayo endelea kuwakuta Waislamu chini ya Serekali ya CCM bila kujali kama Msemaji jukwaa alilopata kutueleza hayo ni UKAWA au Sahani?
 
Hivi kwa unavyodhani wewe nchi hii ya waislamu pekee yao?????Maanake umejikita zaidi kuwasemea waislamu kuwa wanapata madhila je unasemaje kuhusu Madhila wanayopata wakristo kwa kumwagiwa tindikali,kuuwawa na makanisa yao kuchomwa moto na katika yote hayo hakuna hata mmoja aliyekamatwa na kushitakiwa??????

Ndio maana ndani ya UKAWA kuna Waislamu na Wakiristo. Mimi siwezi kuwasemea hao, waje wenyewe waseme.
 
.....ibara ya 20 (2)
(2) Masharti ya Sura hii hayatatiliwa nguvu ya kisheria na Mahakama
yoyote. Mahakama yoyote nchini haitakuwa na uwezo wa kuamua juu ya
suala kama kutenda au kukosa kutenda jambo kwa mtu au mahakama yoyote
au kama sheria au hukumu yoyote inaambatana na masharti ya Sura hii.
 
Kwa hiyo hoja yako ni ipi mkuu?
 
Back
Top Bottom