Waislamu waamua kuchinja msikitini: Kawe

Status
Not open for further replies.

rugumye

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
561
Reaction score
179
Leo asubuhi mida ya saa 12:15 asubuhi nimekuta waislamu wakigawana nyama katika msikiti wa kawe baada ya kuchinja wenyewe. Hii imeakaje? Wanatekeleza ushauri wa mzee wetu Rais mstaafu Mwinyi? Kama waisalamu na wakristo wakiamua kuchinja nyama misikitini na makanisani itakuwa suruhisho la mjadala wa kuchinja? NAWAKILISHA.
 
Hapana,tusichunguze nani kachinja na kachinjia wapi. Hapa tutakuwa tunautafta mgogoro mwingne. Nijuavyo mimi hakuna kimuingiacho mtu kikamtia unajisi,bali kimtokacho.
 
Unafiki huu utaharibu taifa letu kama wakichinja wao au wakristo haiwezi kumjadala.
Topic hizi ni za kuepuka.
 
Misikitini/Makanisani kumekuwa Sehemu za Biashara?

IMEANDIKWA NYUMBA YANGU ITAKUWA NYUMBA YA SALA NYIE MMEFANYA PANGO LA WEZI- YESU KRISTO
 
Leo asubuhi mida ya saa 12:15 asubuhi nimekuta waislamu wakigawana nyama katika msikiti wa kawe baada ya kuchinja wenyewe. Hii imeakaje? Wanatekeleza ushauri wa mzee wetu Rais mstaafu Mwinyi? Kama waisalamu na wakristo wakiamua kuchinja nyama misikitini na makanisani itakuwa suruhisho la mjadala wa kuchinja? NAWAKILISHA.

Nachukia hizi tabia za watu ambao wakiona jambo badala ya kuuliza na kulijua kiundani kutoka kwa wahusika badala yake wanakimbilia kwenye social network kutangazia udini. Its not fair kabisaaa!!!

Kwa kawaida Waislamu huwa wana ibada zao waachwe wafanye yao, kuna kipindi wanahamasishana kusaidia wasiojiweza misikitini, mahospitalini na hata mitaani. Watu hupewa mafurushi ya vyakula, fedha na hata madawa, hilo ni jambo la kawaida sana. Wengine wakiona hivyo tu tayari ni heading za udini...!!!

Mbona majuzi wamejikusanya na kuchangia bank ya damu na kwenye TV`s ikoneshwa na hakuna aliyesema ni udini??? Leo wachinje ngamia wao ili wawagawie wasiojiweza tayari ni swala la kuchinja jamani?? Mbona tangu tuko waadogo tunakula sana nyama za ngamia tunazogawaiwa misikitini na hakuna aliyehoji na raha zaidi hatukuwa na udini tulikuwa tunakusanya mpaka watoto wa dini zingine nao wanapeleka kwao!!!

Ngamia Waislamu wanaowafuga wanayama hawa nchini wakiamua kuchinja huwachinja kwenye maeneo ya misikitini na kugawa nyama bure kwa Waislamu wote waliopo pale msikitini, niwe mkweli sijawahi kusikia nyama ya ngamia inauzwa kwenye mabucha. Ingawa wakati mwingine hutokea Muislamu akasema mimi sadaka yangu kwa Mungu ni ng`ombe huyu achinjwe na agawanywe kwa Waislamu wote waliopo msikitini muda huo, ni mambo ya kawaida kwa Waislamu.

Tusiyafatilie haya mambo jamani, yatatupeleka pabaya sana, ni mtazamo tu!!!
 
Si lazima kupost kila kitu hapa JF. Kama umeona wanachinja, sisi inatuhusu nini hapa? Wenzetu wanafikiria kupeleka binadamu katika sayari ya Mars, sisi bado tunajadili mambo ya kuchinja. Shame on us black people with black brains.
 
Nachukia hizi tabia za watu ambao wakiona jambo badala ya kuuliza na kulijua kiundani kutoka kwa wahusika badala yake wanakimbilia kwenye social network kutangazia udini. Its not fair kabisaaa!!!

Kwa kawaida Waislamu huwa wana ibada zao waachwe wafanye yao, kuna kipindi wanahamasishana kusaidia wasiojiweza misikitini, mahospitalini na hata mitaani. Watu hupewa mafurushi ya vyakula, fedha na hata madawa, hilo ni jambo la kawaida sana. Wengine wakiona hivyo tu tayari ni heading za udini...!!!

Mbona majuzi wamejikusanya na kuchangia bank ya damu na kwenye TV`s ikoneshwa na hakuna aliyesema ni udini??? Leo wachinje ngamia wao ili wawagawie wasiojiweza tayari ni swala la kuchinja jamani?? Mbona tangu tuko waadogo tunakula sana nyama za ngamia tunazogawaiwa misikitini na hakuna aliyehoji na raha zaidi hatukuwa na udini tulikuwa tunakusanya mpaka watoto wa dini zingine nao wanapeleka kwao!!!

Ngamia Waislamu wanaowafuga wanayama hawa nchini wakiamua kuchinja huwachinja kwenye maeneo ya misikitini na kugawa nyama bure kwa Waislamu wote waliopo pale msikitini, niwe mkweli sijawahi kusikia nyama ya ngamia inauzwa kwenye mabucha. Ingawa wakati mwingine hutokea Muislamu akasema mimi sadaka yangu kwa Mungu ni ng`ombe huyu achinjwe na agawanywe kwa Waislamu wote waliopo msikitini muda huo, ni mambo ya kawaida kwa Waislamu.

Tusiyafatilie haya mambo jamani, yatatupeleka pabaya sana, ni mtazamo tu!!!

Upo sahihi mkuu. Huyu aliyeleta mada hii, amemaliza form four mwaka jana 2012. Nadhani matokeo uliyaona. Msamehe kwa kuwa hajui alitendalo. Uwezo wake wa kufikiri ni matokeo ya matokeo ya form four mwaka jana. Msamehe.
 
Unafiki huu utaharibu taifa letu kama wakichinja wao au wakristo haiwezi kumjadala.
Topic hizi ni za kuepuka.

Thanks mkuu kwa kuliona hilo. Ningekuwa moderator ningemfungia kuingia hapa JF, yeye na uko wake wote.

MTINGI hiyo nyama imepimwa kweli na BWANA AFYA? Au ndio tumeamua kufa ki Zalumenda?
Leo asubuhi mida ya saa 12:15 asubuhi nimekuta waislamu wakigawana nyama katika msikiti wa kawe baada ya kuchinja wenyewe. Hii imeakaje? Wanatekeleza ushauri wa mzee wetu Rais mstaafu Mwinyi? Kama waisalamu na wakristo wakiamua kuchinja nyama misikitini na makanisani itakuwa suruhisho la mjadala wa kuchinja? NAWAKILISHA.
 
Last edited by a moderator:

Safi sana wameamua lililojema na limekuja kwa wakati muafaka, nyama ya pongezi wampelekee Wassira. Hata Wakristo anzeni kuchinja kivyenu, Kawe wameanza na Serikali wala Wakristo hawajaingilia kati. Hii ndiyo dalili ya kuwa nchi imeshindikana kuongoza watu wanafanya wanachotaka. Wakristo wakiamua kuchinja kivyao Serikali itaingilia kati????? Na je ikiacha kuingilia kati inamaana imebariki utengano huo???
 
Leo asubuhi mida ya saa 12:15 asubuhi nimekuta waislamu wakigawana nyama katika msikiti wa kawe baada ya kuchinja wenyewe. Hii imeakaje? Wanatekeleza ushauri wa mzee wetu Rais mstaafu Mwinyi? Kama waisalamu na wakristo wakiamua kuchinja nyama misikitini na makanisani itakuwa suruhisho la mjadala wa kuchinja? NAWAKILISHA.
Acha uzuzu unaoweza kuuepuka! hata wewe unaweza kuchinja nyumbani kwako kwa ajili ya jamaa zako. Tujadili mambo ya msingi na ya kujenga umoja wetu na tujitambua na kuwakana wote wenye ajenda ya kututumia kama condom.
Si wewe wala mimi, na si mama yako ama mama yangu atakayenufaika na athari za chokochoko za kutugawa zinazopandikizwa miongoni mwetu zinazoweza kusababisha umwagaji damu, na kubadilisha kabisa taswira na mahusiano ya jamii yaliyojengwa kwa muda mrefu na kwa gharama kubwa.
 
Leo asubuhi mida ya saa 12:15 asubuhi nimekuta waislamu wakigawana nyama katika msikiti wa kawe baada ya kuchinja wenyewe. Hii imeakaje? Wanatekeleza ushauri wa mzee wetu Rais mstaafu Mwinyi? Kama waisalamu na wakristo wakiamua kuchinja nyama misikitini na makanisani itakuwa suruhisho la mjadala wa kuchinja? NAWAKILISHA.

Usirudie tena kuleta Mada za Kichochozi, tushavuka daraja hilo kwa Amani. Waislamu na Wakristo ni Ndugu Katika Nchi hii. Hatuna nia wala Mawazo ya kubaguana kimisingi ya kidini. Hilo gharama yake itakua kubwa kuliko hivyo visenti mnavyo pewa na hao mabwana zenu.

Hebu jiepeshe na hisia hasi. Wazee wetu wote mmewasikia. Mzee Mengi aliliweka hilo vizuri zaidi. Hatutaki vita vya kidini vitarudisha maendeleo yetu nyuma miaka 2000.

Ndugu yangu Mtingi I hope umenielewa. No offense here. Tunawekana sawa tu.

Kama una stress, angalia BUNGE letu, stress zako zote zitaondoka.
 
Hapana,tusichunguze nani kachinja na kachinjia wapi. Hapa tutakuwa tunautafta mgogoro mwingne. Nijuavyo mimi hakuna kimuingiacho mtu kikamtia unajisi,bali kimtokacho.

Hiyo ni imani yako! waislam hawana huo mstari.
 
Me nimefurah kulijua hilo kuwa ngamia wanachinjiwaga msikitini wengine tunaonaga yale magar yanapita na nyama za nyat na swala tena wanauza sio bure kule Mtown tena gari za serengek manyara nk
 
Hizi topics hazifai. Wamechinja hawajamdhuru yeyote basi waachwe.
 
hata ukilamavi ni sawa? somavizuri BIBLIA mpendwa
Biblia inasema nini juu ya anachokula mtu? Tafadhari fafanua, ni mstari gani wa biblia unaonya juu ya alacho mtu? Yesu mwenyewe, na pia Paulo mtume amesema tuvipokee vyote kwa shukurani.
 
Nachukia hizi tabia za watu ambao wakiona jambo badala ya kuuliza na kulijua kiundani kutoka kwa wahusika badala yake wanakimbilia kwenye social network kutangazia udini. Its not fair kabisaaa!!!

Kwa kawaida Waislamu huwa wana ibada zao waachwe wafanye yao, kuna kipindi wanahamasishana kusaidia wasiojiweza misikitini, mahospitalini na hata mitaani. Watu hupewa mafurushi ya vyakula, fedha na hata madawa, hilo ni jambo la kawaida sana. Wengine wakiona hivyo tu tayari ni heading za udini...!!!

Mbona majuzi wamejikusanya na kuchangia bank ya damu na kwenye TV`s ikoneshwa na hakuna aliyesema ni udini??? Leo wachinje ngamia wao ili wawagawie wasiojiweza tayari ni swala la kuchinja jamani?? Mbona tangu tuko waadogo tunakula sana nyama za ngamia tunazogawaiwa misikitini na hakuna aliyehoji na raha zaidi hatukuwa na udini tulikuwa tunakusanya mpaka watoto wa dini zingine nao wanapeleka kwao!!!

Ngamia Waislamu wanaowafuga wanayama hawa nchini wakiamua kuchinja huwachinja kwenye maeneo ya misikitini na kugawa nyama bure kwa Waislamu wote waliopo pale msikitini, niwe mkweli sijawahi kusikia nyama ya ngamia inauzwa kwenye mabucha. Ingawa wakati mwingine hutokea Muislamu akasema mimi sadaka yangu kwa Mungu ni ng`ombe huyu achinjwe na agawanywe kwa Waislamu wote waliopo msikitini muda huo, ni mambo ya kawaida kwa Waislamu.

Tusiyafatilie haya mambo jamani, yatatupeleka pabaya sana, ni mtazamo tu!!!

Wewe ni Muislam Kweli, Mbona umeandika sentensi zilizonyooka hivi?, kama kuna Waislam tisa kama wewe humu JF, naamini hadhi ya Dini hii itaanza kurejea.. Mungu akujaalie zaidi khekima Na wepesi
 
hata ukilamavi ni sawa? somavizuri BIBLIA mpendwa

Good! Halafu wakristo hilo neno huwa hawalielewi!!!! Kwanza andiko hilo halizungumzii chakula bali linazungumzia maneno!!!!! Yaani kila kimuingiacho si najsi (maana yake ukisikia maneno machafu haikufanyi kuwa umetenda dhambi) bali kimtokacho (maana yake anayetoa maneno machafu ndo anapata dhambi). Sasa hata ukiwafunulia andiko na mistari yote ukiwauliza watasema andiko linahusu chakula....Wanachanganywa na neno "kimuingiacho" wao wanawaza ni chakula. Wape Pole sana!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom