Waislamu waamua kuchinja msikitini: Kawe

Status
Not open for further replies.
Biblia inasema nini juu ya anachokula mtu? Tafadhari fafanua, ni mstari gani wa biblia unaonya juu ya alacho mtu? Yesu mwenyewe, na pia Paulo mtume amesema tuvipokee vyote kwa shukurani.

'Tuvipokee vyote kwa shukrani.....' Pole sana! Basi hata kama ukiibiwa inabidi ushukuru!!!!!!!!!!
Kwa tafsiri yako ya neno "vyote"
 
Misikitini/Makanisani kumekuwa Sehemu za Biashara?

IMEANDIKWA NYUMBA YANGU ITAKUWA NYUMBA YA SALA NYIE MMEFANYA PANGO LA WEZI- YESU KRISTO

Andiko halimalizii hapo kwenye blue. Kasome vizuri wewe.
 
Wewe ni Muislam Kweli, Mbona umeandika sentensi zilizonyooka hivi?, kama kuna Waislam tisa kama wewe humu JF, naamini hadhi ya Dini hii itaanza kurejea.. Mungu akujaalie zaidi khekima Na wepesi

Hii comment yako sijui una lengo gani mkuu!! Leo upo salama unaweza kukaa na kupost ujinga wowote ule uutakao bila kujua kuwa kejeli zako unazozitoa zitakusababishie mwishowe uwe maiti au mkimbizi kwenye nchi ya jirani !Grow up mkuu kejeli kwa watanzania wenzako ni upungufu wa kufikiri! Shame on you.
 
'Tuvipokee vyote kwa shukrani.....' Pole sana! Basi hata kama ukiibiwa inabidi ushukuru!!!!!!!!!!
Kwa tafsiri yako ya neno "vyote"
Mkuu wewe ni mkristo? Unasoma Biblia? Basi nitakupa vifungu vichache tu na wewe ukipata nafasi visome.

Warumi 14: 14. Najua, tena nimehakikishiwa sana katika Bwana Yesu ya kuwa hakuna kitu kilicho najisi kwa asili yake; lakini kwake yeye akionaye kitu kuwa najisi, kwake huyo kitu kile ni najisi.

1Wakorintho 10: 25. Kila kitu kiuzwacho sokoni kuleni bila kuulizauliza kwa ajili ya dhamiri. Maana dunia ni mali ya Bwana na vyote viijazavyo. Na mtu asiyeamini akiwaalika; nanyi mnataka kwenda, kuleni kila kitu kiwekwacho mbele yenu bila kuuliza uliza kwa ajili ya dhamiri.

Mathayo 15: 10. Sikilizeni, mfahamu; sicho kiingiacho kinywani kimtiacho mtu unajisi; bali kitokacho kinywani ndicho kimtiacho mtu unajisi.

Haya bishana na biblia sasa.
 
Namba moja. Paulo amehakikishiwa na Yesu......kivipi? Alimhakikishia wakati huo Yesu akiwa wapi? Ni wapi Yesu anasema yeye mwenyewe?
Namba mbili: Sokoni huwa wanauza najsi???
Namba tatu: Kila kimtokacho mtu kinywani......Wewe unadhani kimtokacho mtu kinywani ni chakula???
Wewe ndo unabishana na biblia maana huijui............!!!!!
 
Eeh kumbe najadiliana na zuzu! Wewe si nimekupa misitari ya biblia uisome mwenyewe?
 
Si lazima kupost kila kitu hapa JF. Kama umeona wanachinja, sisi inatuhusu nini hapa? Wenzetu wanafikiria kupeleka binadamu katika sayari ya Mars, sisi bado tunajadili mambo ya kuchinja. Shame on us black people with black brains.

Man! the shame should be upon yo self.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom