Waislamu wa mji wa Dagestan nchini Urusi wavamia airport kuwasaka vyumbani wayahudi baada ya ndege kutua kutoka Israel

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,034
1698610371719.png


Jamhuri ya Dagestan ni moja ya miji midogo ndani ya urusi inayosifika kwa kuwa na waislam wengi, huwa wana dalili za kujitenga na Urusi, Ni kama walivyo Chechnya.

Kwenye vita inayoendelea kwa sasa zimeibuka hisia za chuki dhidi ya wayahudi, Airport imevamiwa kwa lengo la kuwakamata wayahudi baada ya kupata taarifa kuna ndege inakaribia kutua iliyotokea Israel

Wakiwa wanaisubiri ndege kutua


Baada ya kusubiri muda mrefu, Haikufahamika kama ndege imetua wamevamia Airport

 
Dagestan ni mji uliojaa waislam huko nchini Urusi, Kwenye vita inayoendelea kwa sasa zimeibuka hisia za chuki dhidi ya wayahudi, Airport imevamiwa kwa lengo la kumkamata muyahudi yeyote baada ya ndege kutuoa iliyotokea Israel

Wakiwa wanaisubiri ndege kutua
View attachment 2797242
Baada ya ndege kutua wamevamia Airport

View attachment 2797239
wajinga tu hao, kama wana hasira si wapande ndege waende Gaza wakapigane?
 
Mji wa Dagestan unasifika kuwa miongoni mwa miji michache nchini Urusi iliyojaa waislam, Kwenye vita inayoendelea kwa sasa zimeibuka hisia za chuki dhidi ya wayahudi, Airport imevamiwa kwa lengo la kumkamata muyahudi yeyote baada ya ndege kutuoa iliyotokea Israel

Wakiwa wanaisubiri ndege kutua
View attachment 2797242
Baada ya ndege kutua wamevamia Airport

View attachment 2797239
Kwani kila Myahudi ni Muisrael?
 
Back
Top Bottom