Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,801
Wameuawa na wakristo ambao wamewavamia kwa makundi na kuwafukuza majumbani kwao, na kisha kuwapora kila kitu! Unyama huo umeshirikisha wakristo kutoka hadi vijijini ambao wamekuja kuongeza nguvu ili kuhakikisha wanatokomeza waislamu wote! Wakristo hao walisheheni silaha mbalimbali zikiwemo bunduki za kienyeji, Machete, mikukuki na kila aina ya silaha.Source TVC News Africa.