Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,801
- Thread starter
- #61
Yaaaaani! Haya si ndiyo mawazo ya kitoto na ya kihanidhi yanayosumbua watu kila siku? Nikisoma haya naelewa kuwa waislamu walikuwa wakiishi katika mitaa ya waislamu watupu na wakristo wamekwenda huko na kuanza kuwafurusha. Kama si kuchochea udini ni nini?
Hivi kuna dunia ambayo wakristo wanaishi mitaa yao na waislamu yao. Labda Saudia! Taarifa yako ni uongo na uchochezi wa kutaka kutangaza shida yako binafsi inayokusumbua, siyo ukweli!
Ni habari ya kweli mkuu.