Waislam wamegawika makundi 2 makuu

Waislam wamegawika makundi 2 makuu

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,553
Reaction score
14,865
1. Waislamu majina
Hawa hawaswali, hawafungi, wazinifu, wanashinda baa, wanafuga wanawake nk. Wanaitwa na wasiokuwa kwamba waislam safi . Wao wanaamini mtume Muhammad ndio mtume wao, lkn kumfuata kikamilifu hawamfati.

Wanaitwa Muhammad, Asha, Aisha, Muniz, nk. Katika dunia hii kundi hili ndilo linalopendwa zaidi na wasiokuwa waislam na western country.

Kundi hili masheikh ndio wanaopambana nao kwa kuwapa nasaha mbali mbali watoke kundi hilo waingie katika kundi la 2, jambo ni gumu sana kwa sasa

2. Waislam wenye kujitambua
Hawa wanaswali swala 5 na nguzo nyengine za uislam, wanapinga dhulma na kutaka haki, watoto wao wanawasomesha dini, wanapinga uzinifu na wanapenda dini yao, wanapinga ushogaa , wanawake wanajistiri.
Hawa wasiokuwa waislam wanawaitwa waislam siasa kali yaani hawafai kuwepo ktk jamii. Western country hawawataki waislam wa aina hii. Kubaki ktk kundi hili ni ngumu sna na inatakiwa dua kwa wingi kubaki ktk kundi mpaka unafariki

MSIMAMO WA UISLAMU
Uislam unataka muislam mwenye kujitambua na sio muislam jina. Kundi 2 ndilo kila muislam anatakiwa aingie
 
Kuna wale wanaokula mbuzi katoliki ila wanaswali nao hao vipi! Maana nadhani kwao kula mdudu ni dhambi kuliko kuzini
 
Pale Temeke sudan waislam hao no 2 wanakesha wakiswali huku nyuma ya msikiti na mbavuni mwa msikiti kuna madanguro, the chichidodo style
 
Kuna kundi la tatu la wanaojiona wako kwenye haki na wana haki zaidi kuliko wengine. Wewe umo humo.
 
1. Waislamu majina
Hawa hawaswali, hawafungi, wazinifu, wanashinda baa, wanafuga wanawake nk. Wanaitwa na wasiokuwa kwamba waislam safi . Wao wanaamini mtume Muhammad ndio mtume wao, lkn kumfuata kikamilifu hawamfati.
Wanaitwa Muhammad, Asha, Aisha, Muniz, nk. Katika dunia hii kundi hili ndilo linalopendwa zaidi na wasiokuwa waislam na western country.
Kundi hili masheikh ndio wanaopambana nao kwa kuwapa nasaha mbali mbali watoke kundi hilo waingie katika kundi la 2, jambo ni gumu sana kwa sasa

2. Waislam wenye kujitambua
Hawa wanaswali swala 5 na nguzo nyengine za uislam, wanapinga dhulma na kutaka haki, watoto wao wanawasomesha dini, wanapinga uzinifu na wanapenda dini yao, wanapinga ushogaa , wanawake wanajistiri.
Hawa wasiokuwa waislam wanawaitwa waislam siasa kali yaani hawafai kuwepo ktk jamii. Western country hawawataki waislam wa aina hii. Kubaki ktk kundi hili ni ngumu sna na inatakiwa dua kwa wingi kubaki ktk kundi mpaka unafariki

MSIMAMO WA UISLAMU
Uislam unataka muislam mwenye kujitambua na sio muislam jina. Kundi 2 ndilo kila muislam anatakiwa aingie

Shekhe Mwaipopo yuko kundi gani katika hayo...kama vile yuko kundi la tatu ambalo hujalisema...Kundi la tatu ni la mahekhe UBWABWA
 
Back
Top Bottom