Waislam nijibuni hili

Hili ndilo kubwa.
Kuna watu walikuwa wanapata hela za madini.

Wanapanga magari yao. Wananunua bia. Makreti meengi ya bia.

Halafu badala ya kutumia maji kuosha yale magari. Wakawa wanatumia bia kuosha yale magari.

Mimi siwezi kufanya vile. Lakini magari yao, bia zao, hela zao. Sikuwa na cha kuwapinga wala kuwapangia.

Hata mtu akifanya kitu ambacho mimi naona hakifai, ila, kama kafanya kwa hela zake na mimi hakinidhuru, ni sawa. Kivyake.

Sitaki kumpangia jinsi ya kutumia hela yake. Na yeye sitaki anipangie jinsi ya kutumia hela yangu.

Ndivyo watu wenye ustaarabu wanavyoishi hivyo.

Hizi habari za nani katumia vipi hela zake ni ujima, ushamba, wivu na ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukaa kimya ni busara pia. Wakati mwingine kunaficha upumbavu ulionao.

Na si lazima kila uzi uchangie.
Wewe mpumbavu squared.

Unaandika kukaa kimya ni busara wakati wewe hujakaa kimya.

Contradiction.

Your subconsciously passive-aggressive attempts at retail condescension will neither work with me nor move me a bit.

Ukitaka kumpangia mtu baki matumizi ya hela zake utajikuta unabong'oleshwa hivi hivi.

Waswahili walisema cha mtu mavi.

Kiogope.

Hawakuwa wajinga.

Wewe unatolea macho cha mtu baki.

Acha tabia hiyo.

Jenga chako. Tuoneshe yule hajajenga hospitali. Nimeona mapungufu. Mimi nimejenga hospitali hii hapa.

Lord Buddha alisema, usiniambie maji ninayokunywa ni machafu.

Nioneshe maji safi halafu mwenyewe nione haya maji ninayokunywa ni machafu na yako ni safi. Waingereza hii wanaiita "Action speaks louder than words". Show me, don't tell me.

Acheni kupiga kelele.

Jengeni mnachoona nyie kinafaa.

Hata Biblia imekataza imani bila matendo.

Fanyeni matendo, acheni umbea.

Nawaachia neno la Biblia liwafunze kitu.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Yakobo 2:14-18 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)

Imani Na Matendo

14 Kuna faida gani, ndugu zangu, ikiwa mtu atasema, “Ninayo imani,” na huku hana matendo? 15 Tuseme ndugu fulani au dada hana nguo wala chakula. 16 Ikiwa mmoja wenu atawaambia, “Nendeni salama, mkaote moto na kushiba,” pasipo kuwapatia mahitaji yao ya mwili, kuna faida gani? 17 Vivyo hivyo imani peke yake kama haina matendo, imekufa.

18 Lakini mtu mwingine atasema, “Wewe unayo imani; mimi ninayo matendo.” Nionyeshe imani yako pasipo matendo nami nita kuonyesha imani yangu kwa matendo yangu. 19 Unaamini kuwa kuna Mungu mmoja. Vema. Lakini hata mashetani huamini hivyo, nao hutetemeka!



xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Disclaimer. I am an atheist who reads all sorts of books, including the Bible.

So dont get a hard on just because I quoted the Bible.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lile kanisa la kkt pale dodoma karibu na General kwanini hawakujenga shule..au kiwanda.

Kama unauwezo omba eneo ujenge Shule kwani hujakatazwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But you said the Bible is full of bullsh*t, so that has changed now?
 
There you are..nilikua nasoma comments za watu humu na mwisho niandike.
Lakini cha kushangaza, umeandika kile kilichokuwemo kwenye akili yangu.
Tukubali waislamu kwa wakristo weusi, badala ya dini kutujenga nadiriki kusema imezidi kuzorotesha akili zetu kwa kufungwa minyororo mizito.

You saidi it all!
 
But you said the Bible is full of bullsh*t, so that has changed now?
Can't the Bible have a lot of bullshit and at the same time a lot of wisdom?

Did I ever say that the Bible is unquotable?

Some of the points in the Bible were there long before the Bible existed.

They were taken from "The Epic of Gilgamesh" and "The Egyptian Book of The Dead".

Do you know that? Do you know these books?

Do you know that some people use the Bible because of the currently easily accessible nature of its contents?

Do you know that you are presenting a logical non sequitur by equating the statement "the Bible is full of bullshit" with "the Bible is fully unquotable"?

Do you understand the two are not the same?

Do you understand that "The Prophecies of Nostradamus" are also full of bullshit, but, that does not make them unquotable.

Do you know that Homer's "The Iliad" and "Odyssey" are full of bullshit, but that does not make them unquotable.

Do you know that "The Satires of Juvenal" is full of bullshit, but that does not make it unquotable.

Do you know that Boccaccio's "The Decameron" is full of bullshit, but that does not make it unquotable.

Do you know that Drakes equation is full of bullshit, but that does not make it unquotable.

Do you know that Aesop's Fables are full of bullshit, but that does not make them unquotable.

Do you know that Wittgenstein's "Philosophical Investigations" is full of bullshit, but that dies not make it unquotable.

Do you know that Freud's "The Interpretation of Dreams" is full of bullshit, but that does nit make it unquotable.

Do you know that a book can be so quotable despite being full of bullshit?

Do you know that a book can be so quotable because it is full of bullshit?





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda pengine Gharama za msikiti ni ndogo kuliko za shule. Msikiti unajengwa Kama hall tu, tofauti na madarasa au hospital ambayo ukiacha majengo, yatahitaji nguvu kazi (employees) na vifaa pia.

Lakini tukiweka Gharama kando, hoja yako ina matiki kiasi. Kuna wanaosema kua Waarabu walileta utumwa na dini wakati wazungu walileta shule na dini Ndio Sababu mavyuoni (kisha maofisini) wakristo ni wengi kuliko waislam. Ili kutatua hii tofauti waislam tugejikita zaidi kwenye shule pia.
 
mkuu,umejuaje nazitamani pesa za mtu mwingine!!

umejuaje mimi sina au sijazifanyia chochote!
 
I see hii naye ni mada hahahhh tumeishiwa mawazo
Kwani mtu anapangiwa matumizi ya kilicho chake?!
Udini huu mnauleta wenyewe
Ni hivi hata nchi za magharibi wanaheshimu dini ndio maana makanisa yaliyoshindwa kujiendeleza wanageuza kuwa misikiti. Zote hizi ni nyumba za ibada shida iko wapi?
 
mkuu,umejuaje nazitamani pesa za mtu mwingine!!

umejuaje mimi sina au sijazifanyia chochote!
Unajua kusoma? Kwa ufasaha?

Wapi nimeandika unazitamani pesa za mtu mwingine?

Wapi nimeandika huna na hujazifanyia chochote?

Unaweza kunipa nukuu ya maneno yangu nilipoandika hayo?

Au una kifaduro cha ubongo kimekufanya ukose kujua kusoma kwa ufahamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka Umri huo hujui tu akina nani wanafuga Midevu na Majini??Haya niambie nchi yoyote ya Mashariki ya kati ambako dini imekolea na wana Amani!!!! hata pale kwa ndugu zako Somalia pametulia???
Indonesia ndio nchi yenye idadi kubwa ya waislamu duniani,kuna vita?au Brunei amani IPO au haipo, nchi ambayo serikali yake ni tajiri inamlipia kila mwanaume safari ya kwenda hijja.uwe una acha kudanganya hadharani.
 
Hospitali zingetoa huduma za afya na shule zingetoa elimu pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna cha amali. Mtu ajenge misikiti hata kujaza dunia lakini akawa na mambo ya ajabu ajabu adhabu yake iko pale pale.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…