Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 34,059
- 79,412
Hamjambo!
1. Waislam ni kama Kaini kwa ndugu yake Habil. Wanaona wivu na kuwa na hasira na maendeleo ya Wakristo.
2. Mimi kwa upande wa Baba ni Waislam. Mara yangu ya Kwanza kuingia msikitini nilishangaa Sana. Waislam wengi hawajaujenga uislam kama taasisi.
3. Unaweza kuingia msikitini Siku ya ijumaa na msikiti usijue hata jina lako.
4. Waislam Dini yao inategemea misaada zaidi ya watu binafsi kuliko wajibu wa mtu mmojammoja kuwajibika kuujenga uislam na maendeleo yake.
5. Bila kupoteza Muda nitaeleza mambo nyeti ambayo Wakristo wanawazidi kwa mbali ndugu zao Waislam;
a) Usimamizi wa Rasilimali watu.
Waislam hawana tools mbalimbali za kusimamia watu tofauti na madhehebu ya Wakristo.
I) Wakristo wanajua idadi kamili ya waumini wao na wanamfumo wa kuhesabu waumini wao Kila Mwaka.
Kila Kanisa, Kila jumuiya, Kila kanda inajua waumini wake. Programu mbalimbali kama Ubatizo, jumuiya, Kaya na familia, komunio ni moja ya mambo yanayotoa idadi ya watu katika ukristo.
ii) Kila jumapili au jumamosi lazima waliohudhuria wahesabiwe na wageni wajulikane.
Wapo mashemasi KAZI Yao ni kupanga watu, kuhesabu watu, kusimamia watu na kuhakikisha Ibada inaenda sawasawa.
Waislam hata uende Leo msikitini hakuna wa kukuuliza umetokea wapi, hawana huo mfumo.
ii) Kujua idadi ya watu ni muhimu katika usimamizi wa mission na malengo ya Kanisa.
b) Mifumo ya Kutoa zaka na Sadaka.
i) Wakristo wote Duniani iwe amesoma au hajasoma. Kutoa sadaka na zaka ni sehemu ya ibada.
ii) Huwezi kwenda kanisani bila sadaka au zaka hiyo tangu tukiwa watoto tunafundishwa.
iii) Watoto wa Kikristo wanafundishwa kutoa wakati waislam hawatilii mkazo kwenye utoaji.
iv) Kila kanisa Lina kanisa la watoto au Ibada ya watoto ambazo zinaendeshwa katika mfumo uleule wa wakubwa.
v) Nilishangaa kumsikia sheikhe mmoja akisema ati msikiti mzima waislam wote sadaka ni ngumu kufika Laki tatu. Hiyo kama sio aibu ni kitu gani.
Wakati laki tatu ukienda pale Kanisa la wasabato Mwenge au Magomeni au Manzese hiyo ni sadaka inayotolewa katika kanisa la watoto.
vi) utoaji ni utamaduni na tabia ambayo MTU anafundishwa tangu akiwa Mdogo. Wakristo kwa Hilo wamefanikiwa.
vii) waislam kama kutoa tuu sadaka elfu kumi au elfu hamsini anashindwa ataweza kumchangia sheikhe Anunue gari walau la million 50?
viii) Waislam wao wanachojua ni kuswali, kufunga Ramadhan, kusikiliza Kaswida, kusoma Quran. Hicho wanajua. Waambie watoe sadaka au zaka. Huo wajibu wengi wao hawautimizi. Na hawautilii maanani.
ix) Masheikhe na maimamu kibao huku mitaani wanadhalilika. Mnashindwa kuwatunza maishekhe wenu, maostadhi wenu, imamu wenu ambao wala sio gharama kubwa. Milioni mojamoja kwa mwezi Kila sheikhe nchi nzima. Mnashindwa. Mtaweza kuchangia mambo ya sijui ujenzi wa hospital, ujenzi WA shule, au mambo mengine?
x) Sio kwamba Waislam hawana pesa au vipi. Hapana ni utamaduni huo ndio hawana. Utoaji.
Kwani waislam wangapi ni waalimu huko serikalini, waislam wangapi ni madaktari, wanasheria, manesi, madereva, wafanyabiashara. Lakini waambie kutoa uone utakavyogombana nao.
c) Wakristo kupitia Zaka wanajua kipato na KAZI ya Kila muumini.
I) Yaani ukishakuwa mkristo ukaenda Kanisani lazima watu uongozi ujue kipato chako.
ii) Zaka ni lazima kwenye dini ya Ukristo. Yaani huwezi kumuabudu Mungu kama hutoi Zaka.
iii) Zaka ni kuonyesha Mungu amekubariki na shukrani hivyo unarudisha fungu la kumi la kipato chako kwa Mungu kupitia Kanisa unaloabudu.
iv) Waalimi, madaktari, manesi, madereva, na wafanyakazi wote kanisani wanajulikana na mishahara yao inajulikana.
v) Mwallimu anayelipwa Laki Saba fikiria anatoa Zaka elfu 70 Kila mwezi. Hiya ni nje ya sadaka na michango mingine.
vi) Kwa waislam hawana mfumo huo. Waislam mnaosoma hapa. Kuna wafanyakazi. Jiulize wewe unalipwa milioni Moja au unafanya biashara kwa mwezi unapata milioni moja je, Kila mwezi unatoa msikitini Laki Moka ya zaka?
vii) Kwa wakristo usipotoa Zaka uongozi utajua tuu. Kwani Kila kitu kinaenda kwa mfumo wa maandishi na ushahidi.
Utatembelewa na lazima uhojiwe.
Waislam wao hiyo hawana. Kwanza hata hawajigusi.
d) Ni wajibu na jukumu la muumini kuchangia miradi ya kanisa.
i) Sadaka zinazotolewa kanisani zina kazi nyingi.
ii) Kuna marekebisho ya kanisa.
iii) Kuna kazi ya utume na kueneza injili.
iv) Kuna kuanzisha na kuboresha miradi ya Kanisa.
v) mambo hayo yote waislam hawana.
Huwezi sikia msikitini waislam wanatoa sadaka ya kujenga mashule au hospitali za kiislam.
vi) Na waislam moja ya maeneo waliyodhaifu ni kwenye mawaidha ya utoaji sadaka na zaka. Ninafuatiliaga mafundisho Yao wakigusia utoaji sadaka na zaka. Wanatia huruma kweli. Sheikhe au mtoa mawaza anazungumza kama anabembeleza waumini.
Kwenye ukristo kutoa sio hiyari. Kutoa ni lazima. Na kuna namna mbalimbali za kushinikiza Jambo Hilo kama kutumia misiba, harusi na mambo kama hayo.
6. Kanisa linasapoti KAZI za Waumini.
I) Ukijua kupiga kinanda na kuimba utasapotiwa na kanisa.
ii) Ukiwa na project inayohusiana na dini utasapotiwa. Mfano uimbaji na muziki.
Lakini ni waimbaji wangapi wa kiislam wanaoimba Kaswida ambao Waislam wanashindwa kuwasapoti? Wangapi?
Huyo Mzee Yusuph ambaye aliamua kuacha nyimbo za kidunia akasema aimbe Qaswida aliishia wapi? Waislam Siku za maulidi, siku za idi siku za sikukuu zenu mnashindwa kuandaa matamasha ya kiislam mkaita waimbaji wa kiislam, waumini wa kiislam wakatoa kiingilio, wasanii wa kaswida wakapata, na misikiti ikapata. Hamtaki! Mnalalamika.
iii) Kanisa linasapoti wenye shule na hospitali.
Wasabato kuna wakati ambao sio Siku ya ibada labda sikukuu ya Makambi wenye shule au miradi wanapewa nafasi kuonyesha miradi yao. Na waumini wanasapoti, wazazi wanapeleka watoto shule za kanisa.
Ni lini ninyi waislam mliwahi kufanya hivyo? Ni waislam wangapi wanamiliki shule mkatumia misikiti yenu kuwasapoti hata kwa wao kuonyesha miradi Yao kama sehemu ya matangazo? Hamfanyi. Leo mnataka muwe Sawa na Wakristo? Kuweni serious
7. Viongozi wa Dini ya Kikristo Siku zote wapo Upande wa Waumini wao.
Kile waumini wanataka ndicho Viongozi wa dini watakisema full stop.
I) Nyie Waislam hamna umoja. Masheikhe wanataka heshima za burebure kisa kusoma Quran. Nani atakupa heshima hiyo?
ii) Kueni upande wa waumini wenu. Muone kama Waislam hawatakuwa upande wenu.
Iii) Unakuta viongozi wengi wa kiislam badala wawe upande wa Waumini wao wenyewe wanakuwa upande wa serikali. Alafu muda huohuo wanataka waumini wa kiislam watoe sadaka na zaka au wawasikilize. Hakuna binadamu mjinga atafanya hivyo.
iv) Wachungaji wengi wakiongea wanaangalia waumini wao wengi msimamo wao na matakwa yao ni yapi. Wanasimamia hapo. Bila kujali matokeo.
Wauumini nao wanajua chakufanya.
v) Wachungaji wengi wanaishi maisha mazuri na wanalipiwa bills karibu zote mpaka kusomesha watoto kwa sababu ya majukumu yao. Na wakristo hilo haliwaumizi.
Wakristo wanaumia pale wanatoa sadaka na zaka alafu mchungaji hatekelezi wajibu wake.
vi) Waislam lazima mbadilike.
Nasikia Masheikhe Kila Siku wanalalamika. Ooh! Ndugu waislam nyie hamsikilize viongozi wenu, sijui hamuwapi hela. Hivi kusoma tuu hiyo Quran unafikiri ndio sababu ya waumini kuwa upande wako au kukupa pesa?
8. Matamasha, programu na media zinazopromoti ukristo na kazi za wakristo.
i) kuna kina Goodluck Gozebeth, Joel Lwaga, Angel Bernad, Clement, Rose Muhando, Bahati Bukuku, Njiro SDA kwaya kishindo cha Wakoma, Zabron Singers Mkono wa Bwana, n.k.
Vijana wa Kikristo mfumo wao unawabeba. Wanatangaza kazi zao, wanapata pesa, Makanisa Yao wanawatumia wote wanapata pesa.
Jamii inaburudika. Vyombo vya habari vinatumika kutangaza kwa namna na mbinu zote.
Waislam hata upite mtaani sasa hivi unaweza ukaa mwezi mzima usisikie wimbo wa kiislam.
Sasa hivi ninauhakika ukimwita muislam akutajie waimba Qaswida watatu tuu anaowajua ili umpe laki Moja hawezi kutaja. Ila huyohuyo muislam mwambie ataje waimbaji wa kikristo atakutajia hata kumi na nyimbo zao ataimba.
ii) Waislam waliopo kwenye vyombo vya habari kama redio au luninga lini utasikia wameweka Qaswida nje ya Siku ya ijumaa?
Lakini njoo kwa Wakristo, Madj, waendesha vipindi redioni au luningani haiwezi pita Siku usisikie nyimbo ya Gospel hiyo haiwezekani.
iii) Wakristo wanauwezo na wanamifumo ya kutrendisha wachungaji na wanamuziki wa Injili na Kila mmoja anamuachia mwenzake nafasi.
Sasa hivi kuna wimbo wa Makombolelo. Chuma kinapaa watu wanapata pesa na ujumbe unafika.
Waislam hawana hiyo mifumo. Uislam umelimit baadhi ya maeneo na hiyo kuufanya ukose sapoti ya vijana na wakati wa sasa.
9. Sikukuu za kikristo zipo Kiroho na kibiashara.
i) watu wanaabudu Mungu na hapohapo wanapata pesa.
Waislam wanaabudu bure na wanatoka bure.
Dini ya kikristo sio Dini ya Bure. Inagharama ya kiroho na kimwili.
ii) Christmas ni sikukuu inayonifaisha jamii na taifa na dunia nzima. Waimbaji, watengeneza filamu, wachungaji, watangazaji, n.k. Wote wananufaika.
Lakini vipi sikukuu za waislam?
Nina mengi ya kuandika lakini ndugu zetu waislam mnamambo mengi ya kujifunza kuhusu Wakristo ili nanyi mfanikiwe.
Mnasema kwamba MOU inapendelea Wakristo, hicho ni kisingizio tuu. Huko Uarabuni kuna MOU? South Africa, Nigeria, na nchi zingine zinaMOU?
Hizo nchi za kiislam tuu kama sio kuweka vikwazo kwa Wakristo unafikiri Ukristo ungekuwaje nchi hizo?
Ndio maana Mission na Missionary.
Kufikia hapa sina la ziada.
Taikonmaster
Kwa Sasa Dar es salaam